Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
Ni maoni yangu lakini mkuuMkuu hata akibaki tatizo liko wapi? Mbona OX ,Henderson na Jones wapo hausemi wauzwe kwamba wanakula mishahara ya bure?
Me naona salah abakie tu sijaona ulazima wa kuuzwa kuzidi hao niliokuambia hapo.
Tunajua tu salah hayuko sawa kwa sasa ila atakuwa sawa tu msimu ujao.
View attachment 2222090
Ya kwako pia siyapingi
