Sio mashabiki tu wanaoteseka Hadi klopp mwenyewe anateseka haaland kutua city[emoji14][emoji14][emoji14][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unazidi kutesekaYaani watu wakumbuke mechi ya Liverpool team C vs Real Madrid team A. Embu acha kusumbua watu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watakupa mrejesho, kuwa mpoleeee.Wakombozi wetu halali Ni Westham na Aston Villa hao wengine walikuwa mamluki
Huu mwaka liverpool wanaweza pata aibu kubwa Sana.Aiseee mwaka Jana mlitolewa kirahisi kabisa ,ila Kuna kuku zimekaza fuvu "quadraple"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2221293
Tupe rekodi ya liverpool EPL.Tupe record ya City UEFA
Leo munategemea wakombozi wachovu wawakomboe ..hii liverpool ni Atari Sana lazima ibebe ubingwa EPL bila ukombozi wowoteWakombozi wetu halali Ni Westham na Aston Villa hao wengine walikuwa mamluki
Liverpool 19 EPL trophies. Wewe chelwowo hivi unangapi vileTupe rekodi ya liverpool EPL.
Wewe na mimi nani anateseka mpaka mmeona mumlete na Halland a jaribu kumuondelea Pep aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unazidi kuteseka
EPL 1 Izo 18 ni second division ambapo ligi ilikuwa ya mchangani.Liverpool 19 EPL trophies. Wewe chelwowo hivi unangapi vile
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwan nyie mlikwama wapi kumchukua huyo halland? Mnateseka eeeeh/Wewe na mimi nani anateseka mpaka mmeona mumlete na Halland a jaribu kumuondelea Pep aibu
Nyie Chelsea league kwenu si ilianza 2000[emoji16]EPL 1 Izo 18 ni second division ambapo ligi ilikuwa ya mchangani.
Pia tulisema huwezi kufika final uefa[emoji16]Mlisema Newcastle wako vzuri watawazuia city wakala chuma 5-0
Oooh wanakutana na Leeds ambayo iko moto ,atawazuia kala chuma 4-0
Mara ,wolves hawezi kumuacha man city ,lazima wolves amfunge city [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kapigwa 5-1 .,...
Tunakuja kwa huyo westham Tena , endeleeni kuomba hivo hivo [emoji23] ni mwendo wa kutoa vipigo tu