Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Nimeshakutumia, angalia kwenye pm yako. Fantasy Football Manager Mobile AppNitumie links ya hili Group, plz fanya kweli.
Nimeshakutumia, angalia kwenye pm yako. Fantasy Football Manager Mobile AppNitumie links ya hili Group, plz fanya kweli.
Hichi kitu ndio huwa nakiongea lakin Klopp hajui hilo.Ikitokea man city kashinda dhidi ya westham, Basi game zetu zilizobaki wacheze akina Elliott,
Tupumzishe wachezaji hata kwa hizi siku chache zilizobaki kuelekea final, vijana wamechoka mno.
Kwani kuna tatizo juu ya Hilo!?Nahisi huyu jamaa ata retire akiwa man cityView attachment 2222035
Pep anaenda kuwa legend city hata akiretire atakuwa na mshahara wake special mpaka mwisho wa duniaNahisi huyu jamaa ata retire akiwa man cityView attachment 2222035


kama ambavyo mpaka Sasa AF pale united Bado anamshahara wakeHuyu mColombia mwennzie ..Mimi chaMA langu Colombia Ila Diaz kakosea njia,, liverpool haikuwa timu sahihi kwake.View attachment 2221666
Home boy wa Real Madrid anawakataa anasema anakwenda na Lucho.
Diaz ni 🔥 🔥 🔥
YNWA
Tatizo ni upepo tu ngoja tukae sawa maana tushapata mmiliki tutaenda kushababisha matatizo kwenye timu nyingi msimu ujaoView attachment 2221667
OllaChuga Oc hivi Werner na Lukaku mnakwama wapi aisee haya mambo ni hatari sana kutoka kwa Winga kutupia magoli haya.
YNWA
Salah needs to be sold
ASAP
.anaogopa akizembea tu ataachwa.Ikitokea man city kashinda dhidi ya westham, Basi game zetu zilizobaki wacheze akina Elliott,
Tupumzishe wachezaji hata kwa hizi siku chache zilizobaki kuelekea final, vijana wamechoka mno.
Klopp na wachezaji wake wa ku unga unga anajitahidi sana.Na uzuri wake alishasema akikaa tu bila kazi akimkumbuka tu Klopp anaenda kusoma haraka.anaogopa akizembea tu ataachwa.
Bosi mpya atoe ela asilete uFSG hapo kwenu lazima afanye bonge la statement...Tatizo ni upepo tu ngoja tukae sawa maana tushapata mmiliki tutaenda kushababisha matatizo kwenye timu nyingi msimu ujao
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Yupo sana Diaz ametua ka saini miaka mitano na Klopp kashampa kibali acheze mpira wake asijibane ndio maana unaona ana shine...Huyu mColombia mwennzie ..Mimi chaMA langu Colombia Ila Diaz kakosea njia,, liverpool haikuwa timu sahihi kwake.
#CFC💙💙💙
Walikuwepo ndio maana hamkuweza kuwafunga sio rahisi kwa liverpool kuifunga city iliyokamilika angalia epl mara ya mwisho kuwafunga ni lini.liverpool kwangu mimi ni bora sana ila kikwazo ni city basiHao ulio wataja walikuwepo au hawakuwepo?View attachment 2221884View attachment 2221887
Acha maneno Mengi leta Head to Head tena kipindi hiki cha KiparaWalikuwepo ndio maana hamkuweza kuwafunga sio rahisi kwa liverpool kuifunga city iliyokamilika angalia epl mara ya mwisho kuwafunga ni lini.liverpool kwangu mimi ni bora sana ila kikwazo ni city basi
Tuwekee na vikombe