Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Diaz brings fabulous mojo pale mbele.
Whats a sparkling kid.
YNWA
Au ukute FSG washamwambia hawana mpango wa kuvuja pay structure kumbakisha klabuni hivyo dogo hayupo sawa ki vile maana alijiwekea standards za juu mno kiasi asipofunga ni headline news ya kuhesabiwa mechi...Salah needs to be sold
ASAP
Nyie jitapeni tu halafu mwisho wa msimu Epl mkose, Uefa mkose, FA nayo muikose mmbaki hilo Koroboi(Carabao) lenu.
Nyie jitapeni tu halafu mwisho wa msimu Epl mkose, Uefa mkose, FA nayo muikose mmbaki hilo Koroboi(Carabao) lenu.
Sijui mtaziweka wapi sura zenu.
Ikitokea man city kashinda dhidi ya westham, Basi game zetu zilizobaki wacheze akina Elliott,
Tupumzishe wachezaji hata kwa hizi siku chache zilizobaki kuelekea final, vijana wamechoka mno.









mtafika mbinguni mko hoi, yaan mnacheza final UEFA, huku mna wawaza city.Our current form is worrisome
Hey Janjaweed boys are tired...Our current form is worrisome
KabisaHey Janjaweed boys are tired...
If you have watched our games recently you will realise our usual intensity is lost. Our main aspect of the game is always win the second balls high up the pitch and harass the opposition by pressing with full force now watch Son goal or Villa build up to their goal and you will realise boys are barely running they have become pedestrians.
With current form we will suffer man that the naked truth but we got to find answers to win that what makes the difference.
YNWA
Halland wa nini wakati tuna Origi na Takumi Minamino super subskwan nyie mlikwama wapi kumchukua huyo halland? Mnateseka eeeeh/
Its a bit scary..Kabisa
I am worried but I believe watatoboa tu
Hao ulio wataja walikuwepo au hawakuwepo?Kuwa muungwana kwenye michezo unaifunga city 3-2 ederson ,monster KDB,diaz ,stones ,cancelo,benarldo wote hawapo kikosi cha kwanza .Fikiri ingekuwa ingekuwa liverpool haina hao wachezaji ingekuwaje.Itoshe kusema mnayo bahati kubwa kutokutana na city champions league final na wachezaji wenu wanafuraha sana maana city kwenu kwa sasa ni gunia la misumari .
Kwenye hayo magroup waliomo wengi ni wachambuzi wa mpira, sasa sijui wewe bendera fata upepo utazungumza nini hata kikosi chako hukijui.Nitumie links ya hili Group, plz fanya kweli.
Umemjibu vizuri sana mkuuMpira ungekuwa unaangalia tu majina basi man city uefa angekuwa anachukua miaka yote,lakini mpira hauko hivyo Liverpool mara nyingi wachezaji ni wa bei rahisi tu lakini ndio wanaotupA makombe hayo,
Msimu huu Liverpool imecheza fainali makombe yote na wachezaji kawaida tu hakuna aliyekuja hapo Liverpool anajina hapo wote wamekuja kuwa bora baada ya kuja Liverpool mmoja wapo mo salah.
Robertson tulimchukua hull city iliyoshuka daraja watu walizarau kama wewe ,lakini leo hii top beki bora duniani, mpira ni uwanjani sio majingambo ya usajiri kabla ya mechi.wapi lukaku wa chelsea mbwembwe kibao kasajiriwa kwa gharama kiko wapi.
Watu ambao tunajua mpira huwezi kutundanganya kwa vitu kama hivyo.