Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mara pap we hammer Real Madrid kwa fainali itakua jambo njema sana Mane kukaribia uflame wa Ballon.
YNWA
Tuzo ya Kipara
Mutakuwa munamlaumu Klopp na refareeView attachment 2223408
Mida kama hii kesho by all means and if we are lucky itakua la pili limetua Anfield.
YNWA
Kama tukichukua epl basi hii tuzo anachukua pep tena kwa lazima sio ombi ,hata kama wakimpigia kura au wasipompigia .....Mkuu nimesha piga kura yangu.klopp ndio kocha aliefungwa mechi chache kuwashinda wote hao waliopo. Kafungwa Mechi mbili tu.
Achana na huyo shabiki wa Arse8 bado anaugulia kichapo cha spurs network imestuckUnamanisha kikosi kipi Cha Madrid au Cha Chelsea ??Labda umesahau
Maana Liverpool badaee Jioni ana fainal ya FA
Vipi na wewe unayeenda kushiriki Europa league hujionei huruma kukosa top fourNikianhalia kikosi cha Liverpool Kisha nikija nikichk Madrid nawaonea huruma sana Hawa mabeki wa Liverpool maana kama namuina TAA au Robertson akienda kulala na viatu
Hii tuzo ni ya Klopp haina mjadala.Mkuu nimesha piga kura yangu.klopp ndio kocha aliefungwa mechi chache kuwashinda wote hao waliopo. Kafungwa Mechi mbili tu.
Mkuu fainali hainaga lawama za hivyo kwa sababu mpira hauchezwi dakika 10 tu mbali ni 90+ ama 120+ hivyo muda wa kusaka ushindi unakuwepo wa kutosha kutegemea refa ushindi iliisha tangu Webb astaafu na Fergie.Mutakuwa munamlaumu Klopp na refaree



🤣🤣🤣🤣🤣🤣Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote, wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Kamanda sijaona Maoni yako kuhusu game ya leo maana wewe ndio nakuona shabiki pekee wa Liverpool unayejitambua humu jamviniMkuu fainali hainaga lawama za hivyo kwa sababu mpira hauchezwi dakika 10 tu mbali ni 90+ ama 120+ hivyo muda wa kusaka ushindi unakuwepo wa kutosha kutegemea refa ushindi iliisha tangu Webb astaafu na Fergie.
Fainali ina matokea aina moja ni ushindi muda wa kawaida ama sare kwenda dakika 120 asipopatikana mshindi basi kwenda penati kusaka nani anamvua Leicester kombe hivyo Jipangeni vyema maana fainali za hivi karibuni tulivyokutana mmetoka na lawama wenyewe na sio sisi.
Tulikutana fainali ya Super Cup ukapigika
Kwa penati bila ubishi.
Tulikutana fainali ya Carabao ukapigika kwa penati bila ubishi
Tunakutana FA sasa ebu jitahidi basi kufuta huu uteja huku nasi tukisaka kombe la pili msimu huu.
Naona Lukaku ligi inaisha ndio kaiva aisee mambo mazuri darajani..
YNWA
Saa kumi na mbili dakika arobaini na tano jioni.Mechi ni saa ngapi?,ili tunaopenda mpira mzuri tushuhudie.
kwa sasa hawana cha kuongea wanatetemeka ,wanajua kabisa timu lao bovu ,wanasubili uwanjani huko baadae ndio waanze kuja huku kumwagikaKamanda sijaona Maoni yako kuhusu game ya leo maana wewe ndio nakuona shabiki pekee wa Liverpool unayejitambua humu jamvini






