King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,467
- 7,467
huyu asipouzwa tusahau kubeba tena EPL,
Kweli kama mechi ya jana ni yeye ndiye wa kulaumiwa.
Ndiyomaana kuna kipindi walitofautiana na Mane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anakusubiri nawee akakuinamishe, andaa pain killer, wafaransa unajua show zao? Ooooh usiseme sijakuambia.Baada ya kubakwa na Benzema hatimae leo umefufukia hapa
Naona Kama EPL inataka kukukimbia hivi ..maana Jana umedrop point mbili vs Spurs na City kafumua mtu tano uko.Kabisa fainali haina mwenyewe inategemea na mind set ya wachezaji watakaopata bahati kucheza, sitegemie kabisaaa tuingie uwanjani kama juzi kule Valencia kipindi cha kwanza yaaani Madrid watatumeza mazimaaaaaaa.
Klopp ana kazi ngumu sana hapo mbele bila shaka amekua akitoka na ushindi kila gemu inayoonekana kua ni ngumu kwetu.
YNWA
Hatujapoa mkuu ..tupo tuna wa zoom tu kinamnaπ€£π€£π€£View attachment 2212969
π π π π π Pain killer kumbe mmepigwa juju la Ivory Coast Hahaha Yaaaaaani mtajua hamjui.
Mtakua mnasidikiza aafu haoooo bye bye.....
ππππππππππππππHivi yule shabiki mwingine wa Manchester City jamani kafia wapi anamuacha Pain Killer analia mwenyewe.
Mmoja baada ya mwingine mnatulia tuliiii haha yule jamaa yangu wa Chugga alishapowaa sasa hivi tunaongea lugha moja.
YNWA
Kwa hio head to head ya fainali ime balance tumechukua moja na yeye moja sasa twakutana tena kuona nani zaidi.
YNWA
Dah nimesikitika saana wanangu wa Colombia awapo dahβΉοΈβΉοΈβΉοΈ
Kazi ipo najua Salah atakamia sana π€£π€£π€£π€£View attachment 2213745
ππππππππNaona hapo kontena la Chugga na Pain Killer sasa Karim amefika mwisho sie hatuna mashaka na ushindi tutapambana tu.
YNWA
Klopp naomba asikilize maoni yangu, kwa sasa mechi ijayo apuumzishe wachezaji mhim kutokana na mechi ya Villarreal na Tottenham, Wachezaji wamechoka ili tuambulie hata FA na UCL. Kipara kwa sasa kumng'oa pale juu ni kazi aisee.
Mpira unadunda munajiamini Kila game mutashinda siyo..Poleni, mkuu maana hamna mtakachoambulia msimu huu. Hiyo FA huna uwezo wa kutuzuia
man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl
liverpool anabutua lile soka lazaman
Unatakaa kusema hii liver wamekutana na wakati ambao timu nyingi zinasua sua uwanjani?tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia
ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Aisee ngumu kumeza lakini kwenye mpira yote yanawezekana kabisa kwamba tukaambulia Carabao tu na nisishangae kabisa.Naona Kama EPL inataka kukukimbia hivi ..maana Jana umedrop point mbili vs Spurs na City kafumua mtu tano uko.
UEFA final uko na Madirid na siyo game nyepesi hiyo.
FA final uko na Chelsea na pia ni 50,50 maana kwa Sasa tunachechemea Ila lolote laweza kutokea.
Je, ikitokea umekosa makombe yote matatu utamlaumu Nani? Maana kikosi chenu kwa Sasa kipo π₯π₯ ..tusubiri tuone msimu huu mutavuna nini.
#CFCπππ
Unatakaa kusema hii liver wamekutana na wakati ambao timu nyingi zinasua sua uwanjani?
Malaika wa ushindi hakika waegemee kwetu duuh itakua ushindi murwa sanaaaaa.Head-2-Head ya Don Carlos at AC Milan v/s Liverpool
- 2005 Liverpool Won
- 2007 AC Milan Won
- 50/50
Head-2-Head ya Real Madrid v/s Liverpool
- 1981 Liverpool Won
- 2018 Real Madrid Won
- 50/50
Head-2-Head 2022
-Anatafutwa Mbabe sasa π€
- Don Carlos v/s Liverpool
- Real v/s Liverpool
Bhana naona mawazo yake yote yapo Paris sasa.Kazi ipo najua Salah atakamia sana π€£π€£π€£π€£
Umeongea kimpira Sana mkuu ..Mimi kwa Sasa mukashinda nitawapongeza na mukipigwa Basi nitawapongeza pia ...Aisee ngumu kumeza lakini kwenye mpira yote yanawezekana kabisa kwamba tukaambulia Carabao tu na nisishangae kabisa.
Kwanza fainali hua haina mwenyewe kabisa inakua open gemu kila mmoja kwa mbinu zake na utayari wa wachezaji anashinda kabisa kombe hivyo tusubiri burudani kwanza fainali FA itakua gemu ngumu japo unasema mnachechemea lakini Liverpool vs Chelsea haijawai kua rahisi na pazuri hata utulivu sasa mtapata kwani mmiliki mpya kashapatikana wamebakisha kuwakilisha seriakalini wajiridhishe hivyo mtapata stability kwa taarifa hizo.
Jana gemu ya Tottenham sijaangalia nitaisaka marudio nione namna gani Conte kaja na mbinu ipi. Baada ya ile sare ya Liverpool vs Manchester City Klopp alihojiwa na kuulizwa anaone aje hizi mbio na alijibu ni ngumu kushinda mechi zote nadhani zilikua zimekua 7 kipindi kile ila akasema atapambana kuwapa burudani mashabiki na pia kuona kama tutakua kwenye mix ya ubingwa na so far vijana mpaka sasa wamejitahidi mno mpaka tulipo msimu huu ni kwa juhudi zao sio rahisi kama tunavyoona sisi mashabiki kucheza fainali kila baada ya siku 3 au 4 na tutegemee ushindi kila gemu ni ngumu.
Nani wa kulaumiwa duuh sioni mchezaji mmoja mmoja wa kumnyooshea kidole jumla ila kuna baadhi ya gemu wachezaji walituangusha kwa mfano Milner gemu yetu kwenu mara mbili anampiga kiatu Pulisc refa akaona ujinga katoa free kick ikapigwa kuokolewa ikatua kwa Kovac mkapata goli la kwanza. Ukipata muda ebu tazama clip za hio gemu utaona.
Sare msimu huu zimekua nyingi kwetu na hizo ndio zimetuangusha tuna sare na Brighton, sare na Brentford, sare na Chelsea, sare na Manchester City, sare na Tottenham hapo mkuu tunakosa pointi 15 za ubishi ama hata 10 ambazo mpaka sasa ingekua ubingwa tunaunusa. Kwenye mbio hizi Pep amekua bora mpaka sasa maana leo na goal difference ameifuta kibishi.
Matokeo ya Everton vs Manchester City nayo yamechangia tulipo kama tukitazama matokeo ya wengine kwenye hizi mbio za EPL.
Kingine ubora wa EPL ni dhahiri ni level zingine ingekua zamani Spurs Anfield alikua hana jibu lake lakini kocha Conte ujue hajampiga Pep kwa kubahatisha wala hajatoa sare kwa kubahatisha mbali ni kwa mbinu.
Ni msimu wa mafanikio kwetu tumepata burudani murwa sana bado tuna gemu 5 mpaka msimu kuisha so let's all enjoy tjis beautiful game.
YNWA