King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,467
- 7,464
Liverpool won 6 goals UCL jana.
Great kuona Barcola akifungua and smiling Jana.
YNWA
Haya Magoli tunayataka afunge kwenye Mechi Muhimu sio asubiri Timu ambazo hazionekani hata kwenye ChatGPT ndiyo atambe! Anyway niliwahi kujiuliza how PSG watuuzie best player? Mbona kama kuna kitu hakipo sawa hivi.