Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu inayobeba UEFA ni ile iliyokamilika kila idara, Madrid hana sifa za kubeba kombe mbele ya Liver iliyokamilika
Chelsea alibeba ubingwa mbele ya Bayern iliyokamilika Kila idara .. fainali Haina mwenyewe ndogo wangu.

Ukicheki namba Madrid wamefika fainali inashangaza sana.

Hii liver ni bora Sana na Kila mtu anajua, Ila fainali ni mechi nyingine tofauti sana
 
Unacho sema ni sahihi mkuu, ila tutajitahidi kupambana.
 
Yaani benchi lilikuwa jeupe kama kipande cha muhogo

Embu tazama benchi la sasa
HENDO, TSIMIKAS, DIAS, BOBBY, MATIP, GOMEZ, ORIGI, JONES.
Dadeki hapo hata uje na uchawi kutoka kongo na Mto zambezi.
Naiona fainali isiyo na ladha
 
Chelsea alibeba ubingwa mbele ya Bayern iliyokamilika Kila idara .. fainali Haina mwenyewe ndogo wangu.

Ukicheki namba Madrid wamefika fainali inashangaza sana.

Hii liver ni bora Sana na Kila mtu anajua, Ila fainali ni mechi nyingine tofauti sana
Kabisa fainali haina mwenyewe inategemea na mind set ya wachezaji watakaopata bahati kucheza, sitegemie kabisaaa tuingie uwanjani kama juzi kule Valencia kipindi cha kwanza yaaani Madrid watatumeza mazimaaaaaaa.

Klopp ana kazi ngumu sana hapo mbele bila shaka amekua akitoka na ushindi kila gemu inayoonekana kua ni ngumu kwetu.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Screenshot_20220505_160728_org.telegram.messenger_edit_70057149411704.jpg

😂 😂 😂 😂 😂 Pain killer kumbe mmepigwa juju la Ivory Coast Hahaha Yaaaaaani mtajua hamjui.

Mtakua mnasidikiza aafu haoooo bye bye.....

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hivi yule shabiki mwingine wa Manchester City jamani kafia wapi anamuacha Pain Killer analia mwenyewe.

Mmoja baada ya mwingine mnatulia tuliiii haha yule jamaa yangu wa Chugga alishapowaa sasa hivi tunaongea lugha moja.

YNWA
 
Real Madrid vs Chelsea 5-4
Real Madrid vs City 6-5
Real Madrid vs Liverpool 7-6 (nadhani zitakuwa penalti)
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji tu
RM kashamalizana na Laliga ana usongo na UCL, kaeni macho sana hiyo 28 May 2022
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom