Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,498
- 11,319
Da nadhani kwaza huamini kilichotokea pili hujui ulie au ucheke tatu unatamani kua sisi...Match pekee aliyocheza ni ile 3-1 against Chelsea darajan , baada ya hapo hakuna alilokuwa anafanya na sio kwamba natamani liverpool Kuchukua CL ila Madrid Hana hadhi ya Kuchukua CL kwa mpira ule [emoji28]
Imagine being us...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huamini kama umetoka umemuacha Liverpool anaenda fainali.. Aisee maisha haya..kila mtu ana chaguo lake..