Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Hawa huwa wakipigwa wanakimbilia MMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yuko wapi tumrudishie ujumbe wake tuliomtunzia
Hawa huwa wakipigwa wanakimbilia MMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yuko wapi tumrudishie ujumbe wake tuliomtunzia
Kapain killer katakuwa huko siasani kuzungumzia serikaliHawa huwa wakipigwa wanakimbilia MMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata huyo unaemtetea ndio anajiona yupo sahihiNaona yuko kiubishi zaidi,hamtaelewa anataka yeye ndio yuko sahihi.
Huu utabiri umetimiaNahisi huenda mkakutana tena na Madrid fainali View attachment 2186686
Bendela fata upepo hamaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamia rasmi liverpool, ninakaribishwa ???
Sikuzaliwa Etihad
jokes tu mzee sihamiBendela fata upepo hamaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamia rasmi liverpool, ninakaribishwa ???
Sikuzaliwa Etihad
We have new kop. COYR... Karibu jukwaani. Mimi pia ni muhamiaji. Nilikaribishwa hapa kama miaka 6 iliyopita. Tegemea kupata furaha...Nimeamia rasmi liverpool, ninakaribishwa ???
Sikuzaliwa Etihad
Bendela fata upepo hamaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitu mashabiki wa Liverpool tunapenda kama kumuona Pep hana raha ,anakuna kipara muda wote yaani anataabika.........Rahaaaaa sanaaaaaaaa.
Ni fire
Mguu mmoja ndani Sadio kujibebea Ballon d'or kama atam'outshine Benz fainali.
Pep mwepesi sana hajawahi kuwa na akili ya kulinda anachojua yeye ni kushambulia tu ndiyomana sijawahi kuiogopa Man City.
Nyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie [emoji28][emoji28]Hivi baada ya kupita kwa Tabu dhidi ya Atletico hamukujiuliza maswali kuhusu uwezo wa Timu yenu UCL?
Nyinyi karibuni tu mutaamini kuwa Timu yenu sio kwamba ni bora ila kwenye EPL Munapitia upepo kama aliopitia Ferguson tu kipindi yupo Manure.
Wakubwa wamenielewa ila wadogo kama wewe hamuwezi kunielewa.