Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,332
Mechi bado mbichi hii
Acha uoga mkuu
Mechi bado mbichi hii
[emoji1787][emoji1787] vijana wa simeone wamepambana sana lakini hawajaambulia kitu imeniuma kweli.Acha uoga mkuu
Wameupiga mwingi sana leo ila bahati haikua upande wao maana wamekosa pia magoli mengi ya wazi.[emoji1787][emoji1787] vijana wa simeone wamepambana sana lakini hawajaambulia kitu imeniuma kweli.
Dah! Basi tu nimeumia magoli waliyo yakosa kosa aisee, na kilicho wakost ni walipaniki mkuu ila wangetulia wangefunga.Wameupiga mwingi sana leo ila bahati haikua upande wao maana wamekosa pia magoli mengi ya wazi.
Europa league, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu ilikuwa inacheza Europa au uefa ??[emoji23]
Ni mwendo WA kismatii tuu siku zotee. Gundu lilitoka baada ya Karius kuondoka.Hii timu ilikuwa inacheza Europa au uefa ??[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Etihad msimu huu ni wetu.
UEFA na EPL.
Ameen😀😀Na OllaChuga Oc asema Amen
IPO wazi hiyo mkuu...Nahisi huenda mkakutana tena na Madrid fainali View attachment 2186686
Ewaaaa huo ndo uchugastan sasa [emoji3]Ameen[emoji3][emoji3]
Hingereni liverpool kwa kufika nusu fainali, ninyi ni timu Bora.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Na kila ulimi lazima ukiri 😂😂😂😂 OllaChuga OcAmeen😀😀
Hingereni liverpool kwa kufika nusu fainali, ninyi ni timu Bora.
#CFC💙💙💙