King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Uzi mkali sana kama Demu wangu wa Kinyakyusa, Kimuha, Wawili wa Kisukuma, Mmoja wa Kinyaturu na Wake za Watu wawili wa Kinyaturu.
Real Madrid vs Chelsea 5-4
Real Madrid vs City 6-5
Real Madrid vs Liverpool 7-6 (nadhani zitakuwa penalti)
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji tu
RM kashamalizana na Laliga ana usongo na UCL, kaeni macho sana hiyo 28 May 2022
Tupo tayari ndugu waleteeeeeeeeeee.Real Madrid vs Chelsea 5-4
Real Madrid vs City 6-5
Real Madrid vs Liverpool 7-6 (nadhani zitakuwa penalti)
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji tu
RM kashamalizana na Laliga ana usongo na UCL, kaeni macho sana hiyo 28 May 2022
Duh Lovren aka self proclaimed best RCB
Yaani benchi lilikuwa jeupe kama kipande cha muhogo
Nasikia Real Madrid wanampango wa kumkodisha Ramos kutoka PSG hiyo May 28, hapo vipi, Salah atacheza hatacheza?Tupo tayari ndugu waleteeeeeeeeeee.
Hua natoa ushauri sana kuhusu Liverpool ni muhimu kua na maneno ya akiba maana on a good day we are the best..
We gonna try and win the game its final one game the winner takes home the trophy we are ready for the fight.
Uzuri Real wenyewe wanafungika magoli mengi tu tazama mechi ya Chelsea na mechi ya Manchester City amepigika magoli ya kutosha inaonyesha ukuta wao sio imara kama enzi hizo.
YNWA
Kiongoz Salah siku hizi asipofunga wapo vijana watafumania nyavu. Kila kipind RM alituotea kwasababu tulikuwa hatuna wachezaji wa msingi benchi na mashambuoizi yalikuwa yanamtegemea zaid Salah.Nasikia Real Madrid wanampango wa kumkodisha Ramos kutoka PSG hiyo May 28, hapo vipi, Salah atacheza hatacheza?
Safi Rotation pale mbele inaenda kuongezeka .
We jamaa umefanya nicheke na iwe hivyo Insha'AllahMpaka wakae sawa Liverpool atakuwa anaongoza ligi hahahaView attachment 2212534
Mimi kimebeba boga ,wewe hio kichwa yako ni minyoo inaruka ruka tu , kimeozaYani unaonyesha kabisa kichwa kimebeba boga, kazi ya wanaume wavulana hawawezi.YNWA![]()