Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220504_141729.jpg


Conte atakua anapiga ramli zote huyu bwana mdogo aanze benchi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

YNWA
 
Screenshot_20220504_141646.jpg


Salah baada ya kukosa Afcon
Salah baada ya kukosa safari ya Qatar
Salah baada ya maswali mengi ya mkataba wake
Na magoli yamekimbia pazuri ni kwamba ma assist hayajakimbia aisee hivyo kwa sasa ushindi wa makombe kwetu ni bora zaidi kuliko kukomaa na hii ishu.

Salah atafikisha magoli 25 msimu nakuchukua kiatu chake awe na utulivu.

YNWA
 
Mkuu kuna watu wanahisi maoni yao ndio hali halisi. Ilivyotolewa list ya wachezaji kabla game kuanza nikatoa maoni yangu ni bora angeanza diaz badala ya jota na nikasema Diaz ni msumbufu balaa kuna mtu akanijibu eti hatutaki usumbufu tunataka ushindi sasa sijui alielewa nini nilivyosema msumbufu

Kwani yule si alikujibu kiutani tu? Mbona nahisi hakuwa serious 😂😂
 


Moooood ndio hiiiiiiiiiiiiiiiiiii😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

Liverpool =joy bringers.

We are happy sana ma boys wanatuletea good times sana.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom