Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli hasa kipindi cha kwanza nampenda Keita lakini nilikuwa namtukana sana ila kipindi cha pili alikuwa much better Keita tunayemjuwa ila nimsifu Klopp sana nilikuwa nategemea kipindi cha pili Keita atabaki chumbani lakini nikashangaa kuona Jotta out hii ilimpa boost Keita akaja tofauti kabisa akawa anacheza high nyuma ya wale Mid wa Villa ndio best position yake.
Upande wa kushoto Diaz ni mzuri kuliko Mane, central striker Mane ni mzuri kuliko Jota. Sub ilikuwa ni kuongeza threats kwa upande wa ushambuliaji. Kitu kilichofanya midfield ya Liverpool Thiago-Fab-Keita ionekane imepata nguvu.
 
Nadhani kipindi cha kwanza kuwa na Keita na Thiago ilikuwa shida kidogo kuwapa cover Robertson na Arnold, Hasa Keita alikuwa anafanya makosa mengi sana kuliko Thiago ila kipindi cha pili Keita alicheza vizuri sana nyuma ya defence Mid za Villa real akawa anawapa shida lakini mwisho wa siku lazima tumsifi Klopp, wakati sisi wengi hatukuona kama Jotta alikuwa shida wengi tulishani Keita na kweli Keita alikuwa hata pass zake hazifiki laki Klopp akamtoa Jotta na kuingia Diaz ikabadili game yote sababu Diaz alikuwa anawakimbiza na Keita akafufuka tena akawa anapata mipira sehemu nzuri sana. Sifa ziende kwa Klopp sababu hakumtoa Keita wala Thiago kaacha team ileile na kuwaambia kuwa sio kuwa na kipindi kibaya basi mchezaji ni mbaya badilikeni. kipindi cha pili unaona kabisa Mid ya villa imepotea kabisa Liver wakacheza kama team tunayoijuwa wangefunga hata sita. Ila hata Jotta sio kwamba mbaya hapana ni game tu haikuwa siku yake na Diaz ni style tofauti sana kina Mane, MO na Jotta kwani ana offer kitu tofauti sana ikawa mixture nyingine. Kikubwa kama angepita Villa basi final ya mwaka huu ingekuwa mbovu kuliko zote sababu hawa kufika final ingekuwa kama wamemaliza nadhani hata UEFA wamefurahi kwa hili, maana kuna guarantee best final to come iwe na City au Real, japo mimi kama Liver much kuwakuta Real city watatupa shida kwa style yao japo tutawapiga hata kwa penalty.

Mbona haya maelezo yako yapo Kimtazamo zaidi kuliko kimpira?

Kuna maelezo niliyaandika huko juu kufanya ufafanuzi mdogo wa kilichokuwa kinaendelea jana unaweza kuyapitia.

Kwa kuongezea tu:
Jana hatukuwa na Tatizo la Mchezaji yoyote uwanjani bali kwenye First Half Unai alimu-outclass Clopp, kama utafuatilia Fainali ya Europa dhidi ya Sevilla basi utajua Unai ni Kocha wa aina gani.

Kabla ya Mechi unai alisema Amegundua udhaifu wa Liverpool/Klopp ambao hakuna Kocha yoyote aliyewahi kuugundua. Wengi tumemchukulia poa lakini kumbe alimaanisha alichokisema.

Hivyo Keita na Thiago hawakupotea uwanjani accidentally bali ni Unai plan kuwapoteza kwa kuhakikisha hawapokei mpira wala hawatoi mpira kwa mshambuliaji yoyote.

Unai alijua kuwa zuia Keita na Thiago tayari umeizuia Liverpool kwa upande wa Washambuliaji.

Mwiba wa kuvuruga game plan ya Unai ni Diaz: Unajua kwanini?
Defensive Line ya Villarreal kwenye First Half iliziba space zote na Kufanya RB kuziba nafasi baina yake na RCB, hivyo mane hakuwa na space ya kupita.
LB aliziba nafasi baina yake na LCB na kumfanya Salah akose Space ya kupita.
Hivyo ikapelekea kusiwe na space yoyote between LCB na RCB na ikapelekea Jota akawa kama mdoli tu pale mbele.

Nini Klopp alichokishtukia na nini alichokifanya Diaz kuvunja mipango ya Unai?

Alimtoa Jota na kumuingiza Diaz ili kutengeneza Space baina ya Walinzi. Kivipi?

Baada ya kuingia Diaz kama ulikuwa makini alikuwa akichezea pembeni kabisa kwenye Chaki na sio kucheza inside left? Kwanini Diaz alikuwa akitembea na Chaki? Huu ni mpango maalum iliyomfanya RB wa Villarreal kumuacha RCB na kukimbilia mbali kwenye Chaki kwenda kumkaba Diaz.

Kudadeki! Hapo RCB akaachwa pekeyake kwenye mataa na kutengeneza bonge la space baina yake na RB, hapo ikambidi nayeye atanue kidogo kupunguza ukubwa wa space baina yake na RB, hii ikapelekea space baina yake na LCB kuongezeka.
Na upande mwingine Salah naye akasogea pembeni zaidi kumvuta LB ili amfuate kwenye Chaki aache nafasi katikati, hapo RCB na LCB wakawa exposed 😂😂

Ndiyo DM na namba 8 wao wakashuka chini kuja kusaidia kuziba space zilizoachwa wazi! Ndiyo hapo Thiago, Keita na Fabinho wakawa released na huru kucheza wanavyotaka na ikapelekea Maangamizi kwa Unai 😂😂

Ndugu tukiambiwa mpira ni Sayansi sio Lawama tukubali tu.

Kama Tatizo lilikuwa Keita Klopp asingemuingiza Hendo dakika za mwisho tukiwa tumeshajihakikishia ushindi.
 
City mziki mwengine mi naombea tukutane na Madrid. Walichofanya Villarreal first half City wanaweza kufanya dakika 90 wanapress kali sana na energy ya kutisha japo wote tunacheza hivyo ila Madrid nyanya zaidi

Pep mwepesi sana hajawahi kuwa na akili ya kulinda anachojua yeye ni kushambulia tu ndiyomana sijawahi kuiogopa Man City.
 
Mbona haya maelezo yako yapo Kimtazamo zaidi kuliko kimpira?

Kuna maelezo niliyaandika huko juu kufanya ufafanuzi mdogo wa kilichokuwa kinaendelea jana unaweza kuyapitia.

Kwa kuongezea tu:
Jana hatukuwa na Tatizo la Mchezaji yoyote uwanjani bali kwenye First Half Unai alimu-outclass Clopp, kama utafuatilia Fainali ya Europa dhidi ya Sevilla basi utajua Unai ni Kocha wa aina gani.

Kabla ya Mechi unai alisema Amegundua udhaifu wa Liverpool/Klopp ambao hakuna Kocha yoyote aliyewahi kuugundua. Wengi tumemchukulia poa lakini kumbe alimaanisha alichokisema.

Hivyo Keita na Thiago hawakupotea uwanjani accidentally bali ni Unai plan kuwapoteza kwa kuhakikisha hawapokei mpira wala hawatoi mpira kwa mshambuliaji yoyote.

Unai alijua kuwa zuia Keita na Thiago tayari umeizuia Liverpool kwa upande wa Washambuliaji.

Mwiba wa kuvuruga game plan ya Unai ni Diaz: Unajua kwanini?
Defensive Line ya Villarreal kwenye First Half iliziba space zote na Kufanya RB kuziba nafasi baina yake na RCB, hivyo mane hakuwa na space ya kupita.
LB aliziba nafasi baina yake na LCB na kumfanya Salah akose Space ya kupita.
Hivyo ikapelekea kusiwe na space yoyote between LCB na RCB na ikapelekea Jota akawa kama mdoli tu pale mbele.

Nini Klopp alichokishtukia na nini alichokifanya Diaz kuvunja mipango ya Unai?

Alimtoa Jota na kumuingiza Diaz ili kutengeneza Space baina ya Walinzi. Kivipi?

Baada ya kuingia Diaz kama ulikuwa makini alikuwa akichezea pembeni kabisa kwenye Chaki na sio kucheza inside left? Kwanini Diaz alikuwa akitembea na Chaki? Huu ni mpango maalum iliyomfanya RB wa Villarreal kukiacha RCB na kukimbilia mbali kwenye Chaki kwenda kumkaba Diaz.

Kudadeki! Hapo RCB akaachwa pekeyake kwenye mataa na kutengeneza bonge la Pace baina yake na RB, hapo ikambidi nayeye atanue kidogo kupunguza ukubwa wa sapce baina yake na RB, hii ikapelekea sapace baina yake na LCB kuongezeka.
Na upande mwingine Salah naye akasogea pembeni zaidi kumvuta LB ili amfuate kwenye Chaki aache nafasi katikati, hapo RCB na LCB wakawa exposed 😂😂

Ndiyo DM na namba 8 wao wakashuka chini kuja kusaidia kuziba space zilizoachwa wazi! Ndiyo hapo Thiago, Keita na Fabinho wakawa released na huru kucheza wanavyotaka na ikapelekea Maangamizi kwa Unai 😂😂

Ndugu tukiambiwa mpira ni Sayansi sio Lawama tukubali tu.

Kama Tatizo lilikuwa Keita Klopp asingemuingiza Hendo dakika za mwisho tukiwa tumeshajihakikishia ushindi.
Sijapinga maelezo yako ni huyo kocha alicheza Anfield na anamjuwa klopp vizuri lakini tuliona jinsi Villa alivyocheza vibaya Anfield. Namuongea Keita kipindi cha kwanza kama yeye hata kama hukucheza vizuri lakini alifanya makosa mengi sana kuna kipindi akataka hata kuwapa penalty wale jamaa na pass ya nyuma bila kuangalia. Baya zaidi Arnold na Robertson walicheza hovyo sana kipindi cha kwanza sio kushambulia hata defence. Sote tunajuwa Liver ni bora kuliko walivyocheza kipindi cha kwanza sasa ukisema Unai anamjuwa sana Klopp kwani alivyoenda Anfield alikuwa hamjui? second half almsahau Klop? Liver kwa team ni bora kuliko Villa kwa mbali zinatokea siku huchezi vizuri team au mchezaji. Hakuna hata mchambuzi mmoja aliona kuwa atatolewa Jota na kuingia Diaz kipindi cha pili kwa baade tulijuwa Diaz ataingia kila mtu alikuwa anaona shida ni Keita na Thiago lakini hakuwatoa. Liver waliingia na kucheza kama Liver na Mane miaka yote na mafanikio yetu alikuwa anatoka huko kushoto tusiseme leo Mane sio mzuri kushoto hiyo ndio nafasi yake. Jamaa walichoka tu mziki ulivyoanza.
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom