Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,144
Ni muda wa kulipiza kisasi sasa.uzuri hata yule Ramos hayupo Tena
Nimekupata mkuuHizi Lugha nyengine zina ukakasi unless uwe umeandika kwa kumaanisha ulichokiandika. Vinginevyo ungeandika; 👉 Ni On Fire
Mkuu habari ya kushangaa huko 🤣🤣🤣🤣 tutacheza final 😂😂Huwa nawashangaa sana watu wanaotembelea historia kutabili matokeo , badala ya kuangalia kikosi cha Sasa kilichopo ....![]()
I can feel your pain mr pain killer.Nyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie
Huna lolote kaa pembeni ,huo upepo si uwachukue na nyie Sasa ,mna cheza Europa na kina villareal ,benefica mnajiona et mnaweza fala Nini![]()
ile ndio uefa kama hujui ....na tumetoka semi final ya uefa sio hizo janja janja za Europa league Villarreal
,Jana dunia nzima ilikuwa inamtazama ze cityzen tumetolewa kibabe sawa lakin mpira wetu unaonekana usijfanye wewe sijui unakikosi boraaa
mnapita pita njia za panya mnajiona vidume ,aiseee
![]()
😂😂😂😂 Nlimwambia akabisha na yametimia kabisa hehehehehe 🤣 aje hapaI can feel your pain mr pain killer.
Hata wewe unakaribishwa....TATIZO LAKO NI MOJA TU,HUWAHESHIMU WAZEE WALIOPO KATKA JUKWAA HILI...HILI NI JUKWAA PEKEE LENYE WAZEE WASTAARABU WANAOCHAMBUA SOKA SAAAAFI KABISAA...ila wewe unajitia kiburi...ONA SASA LAANA ZAO ZIMEKUANGUKIABendela fata upepo hamaa tu![]()

Na hiyo itwaathiri kisaikolojia vijana wake, lazima wadondoshe pwents kwa droo moja au mbili hapo...Hakuna kitu mashabiki wa Liverpool tunapenda kama kumuona Pep hana raha ,anakuna kipara muda wote yaani anataabika.........Rahaaaaa sanaaaaaaaa.
Huu uzi unaweza kumlainisha putin akasitisha vita.
Njia za panya kivipi? Wewe ungepangiwa na Bayern angekuwa kakutoa zamaaani lakini huyo Villarreal unae msema ni europa kamtoa bayern alafu unasema tumepita kwa janja janja hamna lolote nyie.Nyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie
Huna lolote kaa pembeni ,huo upepo si uwachukue na nyie Sasa ,mna cheza Europa na kina villareal ,benefica mnajiona et mnaweza fala Nini![]()
ile ndio uefa kama hujui ....na tumetoka semi final ya uefa sio hizo janja janja za Europa league Villarreal
,Jana dunia nzima ilikuwa inamtazama ze cityzen tumetolewa kibabe sawa lakin mpira wetu unaonekana usijfanye wewe sijui unakikosi boraaa
mnapita pita njia za panya mnajiona vidume ,aiseee
![]()
Yani unaonyesha kabisa kichwa kimebeba boga, kazi ya wanaume wavulana hawawezi.YNWANyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie
Huna lolote kaa pembeni ,huo upepo si uwachukue na nyie Sasa ,mna cheza Europa na kina villareal ,benefica mnajiona et mnaweza fala Nini![]()
ile ndio uefa kama hujui ....na tumetoka semi final ya uefa sio hizo janja janja za Europa league Villarreal
,Jana dunia nzima ilikuwa inamtazama ze cityzen tumetolewa kibabe sawa lakin mpira wetu unaonekana usijfanye wewe sijui unakikosi boraaa
mnapita pita njia za panya mnajiona vidume ,aiseee
![]()

Kwahiyo unajifariji kuwa Liverpool amepitia njia rahisi kufika fainali?Hivi umejishahaulisha kuwa Villarreal alimtoa Bayern Munich ambaye huwa kwako Ni mbabe na pia hujui kwamba Liverpool amefika fainali FA kwa kumtoa Man City?kwa maana hiyo Ni sawa na kusema kwamba Kama Liverpool huwa anapangiwa nusu fainali timu nyepesi Basi City na Villarreal zote Ni timu nyepesi maana zote zimetolewa na Liverpool kwenye nusu fainali mbili tofauti au ulidhani refa wa Jana angekuwa Ni Yule aliyechezesha mechi yenu ya epl na EvertonNyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie
Huna lolote kaa pembeni ,huo upepo si uwachukue na nyie Sasa ,mna cheza Europa na kina villareal ,benefica mnajiona et mnaweza fala Nini![]()
ile ndio uefa kama hujui ....na tumetoka semi final ya uefa sio hizo janja janja za Europa league Villarreal
,Jana dunia nzima ilikuwa inamtazama ze cityzen tumetolewa kibabe sawa lakin mpira wetu unaonekana usijfanye wewe sijui unakikosi boraaa
mnapita pita njia za panya mnajiona vidume ,aiseee
![]()
Hizi Lugha nyengine zina ukakasi unless uwe umeandika kwa kumaanisha ulichokiandika. Vinginevyo ungeandika;Ni On Fire

Nyie liverkuku mna ubora gani mzee mbona mnajiona kama exceptional Sana ,mna Nini nyie