Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,545
- 18,655
Na sisi tumeshajua namna ya kucheza na timu za Hispania! Imagine being us!!😁😁😂😂😂Aisee naona hali itakuwa mbaya Sana kwetu tukikutana na Madrid nahisi wameshajua jinsi ya kucheza na Liverpool
Na sisi tumeshajua namna ya kucheza na timu za Hispania! Imagine being us!!😁😁😂😂😂Aisee naona hali itakuwa mbaya Sana kwetu tukikutana na Madrid nahisi wameshajua jinsi ya kucheza na Liverpool




Angalau leo yule tarumbeta wa shyte apumzike aisee![]()



ze plastiki faniJamaa itakuwa ana hali mbaya..ze plastiki fani
Natamani sana iwe hivyo hakika livepooll na kropp atajijengea heshima maradufuNa akibeba UCL, linafuata
Europa super cup,
World club cup
Ulisema mapemaPep mwepesi sana hajawahi kuwa na akili ya kulinda anachojua yeye ni kushambulia tu ndiyomana sijawahi kuiogopa Man City.
Kombe letu hilo liverpoolLivepool vs Real Madrid 🔥🔥
These time around hatutamuacha Salma Los Blanco's note from me aje mbinu yoyote ile tumejiandaa kukabili vijana wetu wan hari kubwa San kuahakikisha kuwa wanalinyakuwa kombe Hilo muhimu barani ulaya na duniani kwa ujumlaLiverpool wanatakiwa kuepuka kutumia nguvu na body contact, hawa jamaa wamepania kucheza kwa kugusana gusana tu na manguvu nguvu tu ila pale mbele Liverpool front three wakiwa wajanja wanaweza pia kupata close fouls ama penalts.
Hakika mkuuKombe letu hilo liverpool
Hallelujah
Itapendeza sana tukichukuaThese time around hatutamuacha Salma Los Blanco's note from me aje mbinu yoyote ile tumejiandaa kukabili vijana wetu wan hari kubwa San kuahakikisha kuwa wanalinyakuwa kombe Hilo muhimu barani ulaya na duniani kwa ujumla
Kbla ya gari za it zilizotoka hapa saa tatu za usku changombe kufika kibaha tayari Nisha muweka mtu viwili fasterLivepool vs Real Madrid![]()
Yuko wapi tumrudishie ujumbe wake tuliomtunzia