Mkuu hilo niliwai kujiuliza kama vile njia pekee ya kupata uhakika wa ku mridhi Klopp pale Liverpool ingekua powa akiwa msaidizi wa Klopp hata kwa misimu 3 au 4 hivi atakua kashaiva vya kutosha kuvaa viatu vya Klopp otherwise kule Aston Villa atasubiri sana aisee.
Muda utasema aisee otherwise kwa hawa FSG hawapo kabisa kumfurahisha mtu yeyote wapo kikazi zaidi na kwa sasa Klopp anawaingizia pesa nyingi sana huku brand ya Liverpool ikizidi kukua kila siku hivyo Klopp labda aseme yeye amechoka lakini kama bado ana njaa ana nguvu ya kufanya kazi basi huyu tunae.
YNWA