Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu haina haja ya kuogopa hawa kuku lazima tuwale Supu...ukiangalia vizuri utaona jana despite their win against arse8 at emirate...utaona arsenal alishindwa tu kufanya zile clinical finishing lakini alicheza mpira mzuri na takwimu almost the same tu...sioni cha kuogopa sana dhidi ya Cops!!!

View attachment 2153760
Hivi nini kilizuia Manchester City awafunge Southampton, Crystal Palace.

Unless proven otherwise Manchester City season is heading south.

Sasa hapa ndio itajulikana who can handle presha atakaelegea atakua ame bottle t up.

Pazuri timu zote zina uzoefu wa hizi mbio so that makes its 50/50 race.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Sadly ndio iko hivyo. Ukweli kwa sasa hakuna anaeona umuhimu wa Firmino ila ile role yake ya false 9 ndio imetufikisha hapa tulipo na ndio imemfanya Salah akawa Salah na Mane akawa Mane
Boby is one of great lfc story

Unfortunately siku za karibuni his form ilishuka sana, injuries na fitness

Good to see him fighting again

Ila he needs lots of motivation
 
kwenye karatasi kweli tuna mechi ngumu sababu tuna wapinzani wengi kuliko Man City, yani city ukitoa upinzani na united hawana timu zingine za upinzani wa jadi, sisi tuna Nyumbu, Everton na Spurs huwa hawa tukicheza nao hasa london marefa wanakua upande wao, ila uzuri wanatua ghetoni
 
kwenye karatasi kweli tuna mechi ngumu sababu tuna wapinzani wengi kuliko Man City, yani city ukitoa upinzani na united hawana timu zingine za upinzani wa jadi, sisi tuna Nyumbu, Everton na Spurs huwa hawa tukicheza nao hasa london marefa wanakua upande wao, ila uzuri wanatua ghetoni
 
View attachment 2153788

Vile OllaChuga Oc ameamka asubuhi nakukuta hatujapoteza mechi ya jana na kustuka kumbe msimamo wa Ligi tunawaacha pointi 10 sasa.

YNWA
mkuu kwa sasa tumeishakubali hatuwezi tena kuwakuta tena ..kwa sasa tunakazania kutetea ubingwa wetu wa uefa japo ma giant ndio yamebaki ..ila tutatusua tu kibabe

This is Chelsea💙💙💙
 
Mkuu hii staili ya nywele ya Anod inahitaji mambo gani maana nimeipenda aiseView attachment 2154573
Duh hata usisokote hiyo midread..utatisha.
Pale cnms na huo msokoto wapi na wapi?(kidding)

Nenda saloon mkuu,watakusokota ..muhimu fuga nywele kichwani na hela zisikosekane za kuzifanyia repairment and maintenance hizo dreads.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom