Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Team talk = winning.
YNWA
Respct your opponents. Kama tulicheza mpira wa kawaida, mbona hamjapata hata point moja? Na hii ikiwa ni mfululizo tunakuja hapo na kubeba points zote. Na huyo unayemsema wewe mbona gape amepunguzwa imebakia moja? Alicheza mpira gani na Crystal palace akaishia kupata point moja? Gape mpaka linakuwa moja alikuwa anafanya nini?Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Muda ndo mwamuzi...na game iatakuwa kali kwasababu LIVER ANAFUNGUKA NA KUFANYA PRESSING huku CITY ANAFUNGUKA NA KUBUILD ON QUICK SHORT PASSES, hivyo entertaining football lazima but sioni other results than draw mkikaza sana.Mkuu Liverpool msimu hatuna timu mbaya kama msimu uliopita.
Jota ndo amezidi hapa kuwaonea
Mkuu lazima ukubali Liverpool wako vizuri,kwenye mechi 4 mlizokutana nao mmepata point 1 tu lakini mnakuwa wabishi eti Liverpool ya kawaida?
Mashindano yote mpaka Saizi Liverpool kapoteza mechi 3 tu, hiyo timu unayoisifia imepoteza mechi ngapi mashindano yote? Ni zaidi ya mechi tatu imepoteza lakini bado unaisifia kisa Liverpool kakufunga na hutaki kukubali.
Umefungwa na Liverpool Mechi 2 ukiwa nyumbani kwako bado unalazimisha Liverpool wakawaida kweli?

Kapteni wa duniaHapo kati unaogopa kusema tatizo ni Hendo?

Maajabu haya Salah kaanzia benchi mechi ya Asenal?
View attachment 2153788
Vile OllaChuga Oc ameamka asubuhi nakukuta hatujapoteza mechi ya jana na kustuka kumbe msimamo wa Ligi tunawaacha pointi 10 sasa.
YNWA















Bahati nzuri walioanza walizitendea haki nafasiMaajabu haya Salah kaanzia benchi mechi ya Asenal?
Thamani ya mtu inaanza kuchujwa hapo dah
Khatari sanaKapteni wa dunia![]()
Klopp anampenda kwelikweli huyu jamaaKhatari sana
Faby Cantara Keita tuone siku paki pwaya
Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Usiwachukulie Aston villa na wazeme hata kidogoNgumu hapo ni wolves na city
Hao wolves hawafai aiseee