View attachment 2154950
Utabiri wangu leo tutapangiwa city hao
Acha Tupangwe nao ndio tutapima uzito na wepesiNdugu huu ni Utabiri wa Mashabiki wa Man City wanausambaza mitandaoni toka jana ambao wengi wao wamejazana ujinga kuwa kwa Timu za Kiengereza Liverpool ndiyo Timu nyepesi kuchezanayo kuliko Chelsea.
Ndugu huu ni Utabiri wa Mashabiki wa Man City wanausambaza mitandaoni toka jana ambao wengi wao wamejazana ujinga kuwa kwa Timu za Kiengereza Liverpool ndiyo Timu nyepesi kuchezanayo kuliko Chelsea.
Unajua mashabiki wa Man City wanajua Liverpool ni wepesi kutokana na mechi ya Arsenal..Ndugu huu ni Utabiri wa Mashabiki wa Man City wanausambaza mitandaoni toka jana ambao wengi wao wamejazana ujinga kuwa kwa Timu za Kiengereza Liverpool ndiyo Timu nyepesi kuchezanayo kuliko Chelsea.
Mimi sio RAS ila nilitamani watoto wangu wasikutane na kiwembe tangu walivyozaliwa, tatizo jamiiMimi sipendi
Yaaani Mr aanze kufuga manywele??aisee ntamnyoa hata na kiwembe
YNWA
Ile ni imani mkuuMkii weee hupendi dreads ebooo..wewe wa wapi
Ivi Mr wako angekuwa nazo usingeolewa naye ..
Mkuu dreads ni nzuri sana acha ushamba mkuu.
Mzee kutolewa sio shida ila lazima mtapata cha moto ....hio draw itokeee tuumesahau yaliyowakuta 2018, nje ndani



