Sibishi ndugu sio kesho gemu nyingi zetu vs Gunners hazijawai kua rahisi. Kwa bahati mbaya tangu Klopp katua Liverpool mmekua na kikosi dhaifu kushindana vyema ubingwa, kwa sasa mpo kwenye raiti traki chini ya Mikel anapambana kuwarudisha kileleni.
Kwa sisi ma fans hua hatujui lugha nyingine zaidi ya ushindi ndugu kila mmoja akivutia timu yake ishinde na pia wahasimu wakipiga sala kama zote tuwazime kwa Mfano Chelsea, Manchester United, Tottenham watakua wanapiga ramli tuwafunge huku Kipara na vijana wake wakipiga ramli mtufunge ili wapumue pale juu pamekua pa moto sana.
Nwa ni kesho ndugu mbabe atajulikana baada ya dakika 90+
YNWA