Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
KabisaAisee tunachojali sie ni pointi 3 ugenini Emirates hayo ya Manchester City kutufunga ama kumfunga sio wakati wake.
Tuelewane wenzio tunachukua mechi baada ya mechi haya mambo ya kuchukua mechi jumla jumla yaliisha wakati wa akina Fergie na Wenger kwa sasa ligi hii lolote linaweza tokea ndugu.
Tottenham kampige Manchester City lakini kapigwa na Manchester United ambae nae kapigwa na Manchester City yaaani hii ligi haina matokeo ya mfukoni kwa kuweka mambo sawa ni kua positive muda wote kwamba upo ushindi.
YNWA
Tunachojali ni point 3 tulizopata..hayo mambo mengine ni stori zake😂

#ACMilan
