Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kwahiyo huyo Paul ndio anakutisha na maneno yake?

Kwa akili ya kawaida tu unadhani man u atatufunga nyumbani??
Hakuna mechi ya kupoteza hapo kwetu.

Nyie wolves atawachakaza na sisi tunakuja kuwachakaza.
Mchezo utakuwa umeishia hapo.
Sijasema kuwa maneno yake yanatisha mtu but iyo ni perception yake yeye from the point of his view on the upcoming contest for Liver and City!

Nikikumbuka fixture ya kwanza ilivyokuwa msimu huu kati ya liver vs city...binafsi naona wazi iyo april 10 ni 50/50 kwa yeyote, Na game itakuwa kali kikubwa tusubiri muda ndio mwamuzi sahihi wa ubingwa wa hili taji la epl this season.
 
Liver ya sasa ipo moto mno mkuu.
City msijiaminishe sana.

Ona tulivyokimbia hadi tunapishana point 1.

Lolote linaweza kutokea ..Ngoja tusubiri muda.
 
Liver ya sasa ipo moto mno mkuu.
City msijiaminishe sana.

Ona tulivyokimbia hadi tunapishana point 1.

Lolote linaweza kutokea ..Ngoja tusubiri muda.
Ofcourse najua mechi za ubingwa hazina cha home or what...ndo maana nikasem itakuwa 50/50. But city wenyewe wanasem kitendo cha nyie kuja etihad haitakuwa rahisi kushinda pamoja na huo moto wenu, ngoja tuone...KIMSINGI HIYO GAME INAWEZA IKAWA KALI KULIKO ATA FAINALI YA UEFA MSIMU HUU!

Screenshot_20220316-014741.jpg
 
Ofcourse najua mechi za ubingwa hazina cha home or what...ndo maana nikasem itakuwa 50/50. But city wenyewe wanasem kitendo cha nyie kuja etihad haitakuwa rahisi kushinda pamoja na huo moto wenu, ngoja tuone...KIMSINGI HIYO GAME INAWEZA IKAWA KALI KULIKO ATA FAINALI YA UEFA MSIMU HUU!

View attachment 2153749
Na sisi tutakuja Kwa nguvu mno tukijua tupo ugenini
Itakuwa pata shika nguo kuchanika afe kipa afe beki

Mechi natamani iwe kali kama ile ya Chelsea watu tuvuje jasho
 
Tushukuru tuna game na Liverpool lakin city ya 2018/2019 tunakimbizana point 1 ilikuwa hatari ....tulikuwa na wakatili wanaoamua match mzee sane alikuwa moto ,arguero , gundogun alikuwa sio wa Sasa mzee ,bernado alikuwa anavunja vunja mid za team yeyote ,Vincent kompany alikuwa kisiki hatari ndio alihakikisha tunapata ushindi dhid ya lecister ngumu kwa ule mshutii na ndio matumain ya Liverpool yaliisha ....kwa Sasa players wakatili golini kama aguero ,kisiki kama Vincent hawapo .....sane ailiwaua man utd pale OT kwa mshuti kama wa jota jana ....mzee ukiangalia saizi Rodrigo ndio tunategemea afanye kazi ya kompany ataweza ?,mzee wa kuwafunga Liverpool aguero Tena kwenye angle ngumu hayupo ....saizi tuna false nine ya bernado ,au KDB ambayo sio katili kivile japo more chance tunatengeneza ....! Hii inapelekea kushindwa kuaamua game kwenye match za mhimu zinazohitaji point 3 mhimu.....but wacha tuangalie mwamko vs saton jumapili ....

Na ndio mwaka ambao tulimfunga Liverpool etihad kama sikosei ...2-1 ambapo aguero alitupia goli ,firmino akasawazisha then sane akatupia goli la ushindi ...

Kuhusu game ya Etihad Wala Liverpool asije kichwa kichwa anaweza kula kichapo kikubwa tu kwani mara ya mwisho tumempiga 4-1
Mkuu haina haja ya kuogopa hawa kuku lazima tuwale Supu...ukiangalia vizuri utaona jana despite their win against arse8 at emirate...utaona arsenal alishindwa tu kufanya zile clinical finishing lakini alicheza mpira mzuri na takwimu almost the same tu...sioni cha kuogopa sana dhidi ya Cops!!!

20220317_104931.jpg
 
Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui

Mkuu lazima ukubali Liverpool wako vizuri,kwenye mechi 4 mlizokutana nao mmepata point 1 tu lakini mnakuwa wabishi eti Liverpool ya kawaida?

Mashindano yote mpaka Saizi Liverpool kapoteza mechi 3 tu, hiyo timu unayoisifia imepoteza mechi ngapi mashindano yote? Ni zaidi ya mechi tatu imepoteza lakini bado unaisifia kisa Liverpool kakufunga na hutaki kukubali.

Umefungwa na Liverpool Mechi 2 ukiwa nyumbani kwako bado unalazimisha Liverpool wakawaida kweli?
 
Mkuu haina haja ya kuogopa hawa kuku lazima tuwale Supu...ukiangalia vizuri utaona jana despite their win against arse8 at emirate...utaona arsenal alishindwa tu kufanya zile clinical finishing lakini alicheza mpira mzuri na takwimu almost the same tu...sioni cha kuogopa sana dhidi ya Cops!!!

View attachment 2153760

Kipindi cha kwanza Arsenal hakupata shot on target hata moja licha ya kusema wamecheza vizuri
Adjustments.jpg
 
Hata last time tuliwafunga zile 4 ilikuwa walicheza mechi 8 wakashinda 6 sare zilikuwa mbili,walivyokutana na sisi tukawapa nne hizo.

Leo walipania mechi sana wakawa wanakaba sana.

Liverpool tuko imara nyuma na mbele hapo katika bado hakuko vizuri.

Arsenal walikuwa wanajipa moyo leo watashinda
Hapo kati unaogopa kusema tatizo ni Hendo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom