Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata last time tuliwafunga zile 4 ilikuwa walicheza mechi 8 wakashinda 6 sare zilikuwa mbili,walivyokutana na sisi tukawapa nne hizo.

Leo walipania mechi sana wakawa wanakaba sana.

Liverpool tuko imara nyuma na mbele hapo katika bado hakuko vizuri.

Arsenal walikuwa wanajipa moyo leo watashinda
Well the most prepared timu ndio imeshinda.

Tulikumbaliana haitakua gemu rahisi hivyo matokeo tunaridhika nayo.

Sasa target ni kushinda gemu 9 tena na ubingwa unatua Anfield.

Sio rahisi lakini tutajaribu.

Liverpool way ni never say never until the last whistle.

YNWA
 
Waonee huruma Nkamu
Ilikuwa makubaliano nkamu.
Wakasema kwamba tutaamshana..
Wakasema wataniamsha saa 8 baada ya mechi kuninyanyasa maana nimewanyanyasa sana man u jana mchana
Nikawaambia kwamba hiyo saa 8 ikifika nitawaamsha mwenyewe mje kushangilia ushindi ila hawakuniamini
Japo nkamu nina huruma sana,niliwaacha walale ili sasa leo tupate full time sasa ya kunyanyasana.
 
Nyt nyt folks.

Its getting better as days goes by.

We dare dream for the 20th EPL this season.

Dreams are made of wins.

Inspiring.

Delivering.

Cool heads.

In Love With Liverpool results haha team ushindi no other way.



YNWA
Hii timu inachonipa ni zaidi ya furaha sana.
Imagine hapa nimekaa nafikiria angle gani nianze kushangilia


Wale man u mlionipania Jana,mkanipigia ramli...asbh na mapema nimeamka nikawa nyanyase
 
Tukumbushane tu ni kwamba kuna kipindi Manchester City alituacha pointi 14 na sasa ni pointi 1 moja na tupo gemu sawa.

Kuna mtu mwenye swali jamani? Kuhusu hii gemu ya Liverpool vs Arsenal.

Ushindi ugenini 2 na clean sheet murwa kabisa.

Arsenal kabla ya hii gemu walikua wameshinda gemu 5 mfululizo hivyo sio kwamba n dhaifu mbali hawajawa finished article. Mikel anafanya kazi powa kabisa.

YNWA
Mwenye swali ajitokeze
 
Tuliwatandika nje ndani Carabao,mkaishia kupaisha pira.
Hatutaki wanyonge kama nyie,tunawataka City.
wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..😀😀
 
wanyonge?!! unaijua chelsea vizuri mkuu.? juzi umetoutea kale kakombe cha uji ndio unajiona una timu ya maana hasa baada ya kumpiga kibonde arse8..!??! subiri tupangwe na nyoe tuwawashiye moto ninyi kuku..😀😀
Kombe uji ndio lingewashindaa kupata?
Nyie ni takataka tu mbele ya liver😃

Haya kama nyie siyo takataka basi tutoeni pale juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom