Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Kapteni letu hapo ameharibu combination yangu hiyo
Kapteni letu hapo ameharibu combination yangu hiyo
Huna uwezo wa kumtoa chelseafc kwenye nafasi yake, wewe endelea kupambania nafasi ya4 na ndugu yako nyumbu.Kwa mashabiki wa Chelsea na Manchester United wameshaingia baridi maana Arsenal anataka sana kuingia big 4 msimu huu.
Tazama msimamo Arsenal ana viporo viwili hivyo on paper yupo nafasi bora kuingia Top 4 msimu huu.
View attachment 2151975
YNWA







Dogo wa "corner taken quickly "
Kila upande upo sahihi sioni tatizo hapoView attachment 2149779
Tetesi ni kwamba mazungumzo yalikufa tangu Deseba 2021 hakuna kinaedelea.
Nasimama na Salah kama akiona ofa mpya sio sawa kwake basi akakipige kwingine ambako watamlipa anachokitaka..Salah ni almost 30 umri haurudi nyuma pengine huu ndio mkataba mkubwa kwake hivyo atulize akili afanye maamuzi sahihi.
FSG wao wanasema hawabadili wage structure ku accommodate Salah.
YNWA
Kuna watu wanataka afunge magoliNa hapo kacheza game chache tu. Bobby ni mchezaji ambae yupo underrated sana asee hata na sisi mashabiki wa Liverpool
Kwani Chelsea wako nafasi ya ngapi?Huna uwezo wa kumtoa chelseafc kwenye nafasi yake, wewe endelea kupambania nafasi ya4 na ndugu yako nyumbu.
Manchester United jana El Cholo kafanya yake na kuzima ndoto za kupata kombe lolote msimu huu.Nahisi vijana wa Arteta watatoboa sioni Man u wakimtoa hiyo nafasi.
😂😂😂😂😂😂Ule msimu nakumbuka Le Captain alicheza RB 🙄🙆🏿🙆🏿🙆🏿...Hii style ya kutafuta visingizio baada ya kukosa ushindi Klopp anaiwezea sana.
Alishawahi kusingizia upepo, theluji n.k.
Manchester United jana El Cholo kafanya yake na kuzima ndoto za kupata kombe lolote msimu huu.
Tamu kuliko zote ni kwamba watakua wanaangalia kwenye kideo vijana wetu wakichaja mbuga kusaka makombe.
Jana ilikua powa sanaaaa.
Saint Anne jana una taarifa wale jamaa zako wa Trafford ramsi nje Uefa.
Yaani hawana popote sasa pa kupata kombe.
Itakua powa sanaaa Arsenal waingie mazima Top 4 na hao Manchester United hukoo Europa ndogo ndio size yao kwa sasa.
Maisha yanakwenda kasi sana. Yaaani Man U wamekua wasidikizaji duuh.
YNWA
















alale bed msimu mzima.
Uhuru ulizidi wakawa wanaropoka lolote..









Hahahaha wewe weka kambi huko mpaka waombe po hahaha unao mazima..
Tangu jana usiku nipo kwenye uzi wao,nacheka kwa raha zangu
Yaani nacheeeka hadi nadondoka.
Wanachekesha.
Yaani man u wana kipaji cha uchekeshaji aisee,mpira siyo fani yao kabisa miaka hii.
Wajikite kwenye comedy.
Kuna jamaa leo anasema alitamani ampige maguire risasi ya tako na mguualale bed msimu mzima.
Maisha yapo mbio mwanangu,
Eti Man u sasahivi wanasindikiza![]()
Numbisa hii timu yake inachekesha sana kwa kweliHahahaha wewe weka kambi huko mpaka waombe po hahaha unao mazima..
Just go slow on Numbisa pole to her msimu huu umekua balaa kwao.
YNWA




.









😂😂😂😂😂😂😂Jamani hata sikustukia yumoooo.Kapteni letu hapo ameharibu combination yangu hiyo
Hahahaha wewe weka kambi huko mpaka waombe po hahaha unao mazima..
Just go slow on Numbisa pole to her msimu huu umekua balaa kwao.
YNWA
Numbisa hii timu yake inachekesha sana kwa kweli.
Mimi nipo huko nasoma comments zao..
Nina kazi moja tu ya kucheka
Nashindwa hata cha kusema
Itoshe kusema kwamba wakae kwenye kideo watuangalie timu za kiumeni vijana akina Matip wanavyotananga mpira.
Kapteni la duniaJamani hata sikustukia yumoooo.
YNWA




