BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,946
- 11,802
Tutaona kama ambavyo mtaona mkitolewa na LilleMnaonaje mkatoa sare na Arsenyeto?
Tutaona kama ambavyo mtaona mkitolewa na LilleMnaonaje mkatoa sare na Arsenyeto?
Angalia usije ukajikojolea hapo kitandani.Tutaona kama ambavyo mtaona mkitolewa na Lille
The same pia, na akili zako zote unaota arsenal anaweza akatoa draw.Angalia usije ukajikojolea hapo kitandani.
Kwani hata tukitoa sare ndio mtatuzidi point?Mnaonaje mkatoa sare na Arsenyeto?
Kwa mashabiki wa Chelsea na Manchester United wameshaingia baridi maana Arsenal anataka sana kuingia big 4 msimu huu.Kwani hata tukitoa sare ndio mtatuzidi point?
Mkuu Captain kesho unaweza kukutana na game tough ya msimu ambayo hujakutana nayo, Pep Guardiola anasema game yake ngumu this season ilikuwa dhidi yetu anashinda 2-1.Relax Kaka. Arsenal hawapaki basi wala kaunta wao wana mpira wa mpango hivyo watafunguka tu na sie hua tuna shine kwa timu inayoshambulia mazima kwa kua tuna wakimbiaji pale mbele.
Arsenal wanashambulia kusaka top 4 hivyo itakua open game.
Hii gemu tuna shinda.
Nina imani na vijana.
Klopp sasa mtihani kwa wachezaji wasiwe na papara kisa Manchester City ametoa sare. Psychological effects ya sare ya jana lazima iwe addressed kupunguza presha kwa wachezaji wetu.
Mechi bado 10 i guess ni parefu sana anything is possible kati yetu na Manchester City.
Our players need patience ya levo ya juu.
YNWA
Hii style ya kutafuta visingizio baada ya kukosa ushindi Klopp anaiwezea sana.
Alishawahi kusingizia upepo, theluji n.k.
naikumbuka hiyo mkuu.Arsenal, Hahahaaaa.... Jikazeni mpate nafasi ya nne, The Reds mabingwa 2021/2022 hilo halina ubishi.Nyie takataka munataka kubeba kombe kwa mbeleko ..Eti jana CP katowa draw na shitye basi munaonakama ubingwaa mushabeba ..Ngoja mukalishwe na arse8 ili mujue kuwa bingwa apatikani kwa mbeleko.
Liverpool inashinda kwa mawenge, lkn akina man u, chelsea, Aseno ndiyo mnashinda kwa umakini na uhakika. We na kipara presha itawauwa Siyo kwa kupaniki hivi.Liverpool mwenyewe huwa anashinda kwa mawenge kwamba ile fixture yenu ndio ya kujihakikishia point 3 kila game 😅😅😅ni swala la muda tu ....Bado matchi 9 ila safari Bado ndefu sana ...!
Nahisi vijana wa Arteta watatoboa sioni Man u wakimtoa hiyo nafasi.Kwa mashabiki wa Chelsea na Manchester United wameshaingia baridi maana Arsenal anataka sana kuingia big 4 msimu huu.
Tazama msimamo Arsenal ana viporo viwili hivyo on paper yupo nafasi bora kuingia Top 4 msimu huu.
View attachment 2151975
YNWA
Vipi mabingwa zile kelele zimeishia wapi? Ooooh mara sisi nimabingwa lazima tuchue Epl msimu huu saiz hata hiyo top 4 mnaihangaikia.Nyie takataka munataka kubeba kombe kwa mbeleko ..Eti jana CP katowa draw na shitye basi munaonakama ubingwaa mushabeba ..Ngoja mukalishwe na arse8 ili mujue kuwa bingwa apatikani kwa mbeleko.
Sibishi ndugu sio kesho gemu nyingi zetu vs Gunners hazijawai kua rahisi. Kwa bahati mbaya tangu Klopp katua Liverpool mmekua na kikosi dhaifu kushindana vyema ubingwa, kwa sasa mpo kwenye raiti traki chini ya Mikel anapambana kuwarudisha kileleni.Mkuu Captain kesho unaweza kukutana na game tough ya msimu ambayo hujakutana nayo, Pep Guardiola anasema game yake ngumu this season ilikuwa dhidi yetu anashinda 2-1.
Hahahaha yaaani ile ela ya Grealish bora wangepeleka kwa Kane mazima wangekua pazuri sana.
Grealish MF sasa anatumika kama winger, ukija kwa Foden winger anatumika kama CM au False 9 haha sasa hapo unategemea nini.
Klopp kwa sasa amejaaliwa utajiri wa striking force matata sana. Kiasi Origi, Taikumi
Pep kuna aina ya wachezaji anawapenda. Na ukiangalia aina ya uchezaji wao unafanana. Bernardo Silva, Gundogan, na Siva aliyeondoka wana mpira wa kufanana sana.Hahahaha yaaani ile ela ya Grealish bora wangepeleka kwa Kane mazima wangekua pazuri sana.
Grealish MF sasa anatumika kama winger, ukija kwa Foden winger anatumika kama CM au False 9 haha sasa hapo unategemea nini.
Klopp kwa sasa amejaaliwa utajiri wa striking force matata sana. Kiasi Origi, Taikumi match day hawana chao.
YNWA
kifupi Pep anapenda watu talented siyo marobot kama kina Milner, Fred, kovacic, nk na hicho ndicho kilichompa mafanikio CityKuna kitu
Pep kuna aina ya wachezaji anawapenda. Na ukiangalia aina ya uchezaji wao unafanana. Bernardo Silva, Gundogan, na Siva aliyeondoka wana mpira wa kufanana sana.
Stelling, Grealish, Mahrez nao mpira wao unafanana.
Ukija pale kati. Rodri na Fernadinho shughuli zao ni moja. Ona Cancelo na Walker utaelewa namaanisha nini.
Grealish ni mchezaji mzuri kwa aina ya mpira anaotaka pep. Dribbling zake huku kushoto zinaisaidia sana kupandisha mashambulizi.
Kwa maoni yangu Grealish bado ana mxhango mkubwa kwa city.
Kabisa ndugu.Kuna kitu
Pep kuna aina ya wachezaji anawapenda. Na ukiangalia aina ya uchezaji wao unafanana. Bernardo Silva, Gundogan, na Siva aliyeondoka wana mpira wa kufanana sana.
Stelling, Grealish, Mahrez nao mpira wao unafanana.
Ukija pale kati. Rodri na Fernadinho shughuli zao ni moja. Ona Cancelo na Walker utaelewa namaanisha nini.
Grealish ni mchezaji mzuri kwa aina ya mpira anaotaka pep. Dribbling zake huku kushoto zinaisaidia sana kupandisha mashambulizi.
Kwa maoni yangu Grealish bado ana mxhango mkubwa kwa city.
Sio mbaya tutakuwa tunampumulia kisogoniCrystal palace jumatatu mnyoeni kipara upara wake...jumatano nkae kileleni
Acha kujichekesha kiwaki wakati hapo ulipo mavi yanagonga boksa.Liverpool mwenyewe huwa anashinda kwa mawenge kwamba ile fixture yenu ndio ya kujihakikishia point 3 kila game 😅😅😅ni swala la muda tu ....Bado matchi 9 ila safari Bado ndefu sana ...!
His man management skills Bado pia ni za kujifunzaKuna kitu hutakiwi kusahau! Project ya Arteta inaweza ikakwamishwa na Vitu vilivyo nje ya uwezo wake na ikapelekea isilete mafanikio. You know why? Nakumbuka Misimu miwili ya mwanzo ya Klopp project yake ilifeli vibaya sana licha ya kuintroduce gengenpressing kwenye EPL lakini kulingana na qualities ya Wachezaji alifeli kwasababu ya kuwa na very limited Budget ya kusajili wachezaji aina ya Origi.
Mafanikio aliyapata baada ya kununua wachezaji aina ya VVD, Fabinho, Alisson, Salah, Mane na Keita ambao kiuhalisia ni Very expensive.
Hivyo mbinu pekee haziwezi kuleta mafanikio isipokuwa Budget ya uhakika ya kuweza kusajili wachezaji wenye Vipaji nayo ni moja ya Factors za kuleta mafanikio.
Na sasa baada ya Umri wa kina Salah na Firmino kusogea tayari Jota na Diaz wamesajiliwa.
Hivyo Talented Players + Arteta = Trophy.
Sasa je Wamiliki wenu watamsapoti Arteta kwenye Market ili anunie the likes ya VVD, Fabinho, Diaz, Alisson, Mane?
Na kama Wamiliki watashindwa maanayake yatawafika kama yaliyotufika sisi kukimbiwa na kina Sterling, Torres, Mascherano, Alonso, Suarez kwa ajili ya kwenda kutafuta Makombe.
Hivyo Superpowers watahijack Vijana wenu kina Saka na Martinel na kuwarudisha nyuma katika project yenu.