Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Numbisa hii timu yake inachekesha sana kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi nipo huko nasoma comments zao..
Nina kazi moja tu ya kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa hata cha kusema[emoji23]
Itoshe kusema kwamba wakae kwenye kideo watuangalie timu za kiumeni vijana akina Matip wanavyotananga mpira.
😂😂😂😂😂😂sasa wataangalia sana wakipiga ramli tupigwe kote na bado tuna mechi nao imesogezwa mbele.

Hao komaa nao walitunyanyasa sana enzi ya Fergie hakuna namna sasa ni wakati wao kuchekwa Hahaha.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa tu ipo siku tutarudisha vicheko vyenu,tutakua tunashinda ndani ya uzi huu daily
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wenzenu hawajautelekeza uzi..
Comments zao sasa aiseee
Ndio kama hizo.
Akiyanani nimecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220316-111140.jpg
Screenshot_20220316-111146.jpg
 
Asante.Msimu huu imebidi tuwe wapole na nimshukuru aliyepandisha bei za bando maana GIF zingekua chungu kwangu😂😂😂😂
Pole sana aisee.

Mnahitaji mipango ya muda mrefu haya ma short term fix ya Ronaldo sio kabisa.

Bado mna mvuto kwa vipaji ni suala la kupata kocha bora muwe na subira awarudishe kileleni.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa wataangalia sana wakipiga ramli tupigwe kote na bado tuna mechi nao imesogezwa mbele.

Hao komaa nao walitunyanyasa sana enzi ya Fergie hakuna namna sasa ni wakati wao kuchekwa Hahaha.

YNWA
Dah!
Wanacheza na sisi???
Au tuwasamehe tu wafanye kuandika matokeo sisi moja wao sifuri[emoji1787]
Maana kwa timu yao ilivyo sasahivi tunaweza kuwafunga hata bao 10.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wenzenu hawajautelekeza uzi..
Comments zao sasa aiseee
Ndio kama hizo.
Akiyanani nimecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2152704View attachment 2152705
Waambie wanywe maji ya baridi sanaaa kupoza joto kipindi hiki.

YNWA
 
Pole sana aisee.

Mnahitaji mipango ya muda mrefu haya ma short term fix ya Ronaldo sio kabisa.

Bado mna mvuto kwa vipaji ni suala la kupata kocha bora muwe na subira awarudishe kileleni.

YNWA
Kuna mdau anasema wameamua kuwaamini wazee,,haya sasa waimbe wimbo wa Abiudi Misholi teenda Miujiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mdau anasema wameamua kuwaamini wazee,,haya sasa waimbe wimbo wa Abiudi Misholi teenda Miujiza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazee wangechanganya vyema na vijana wenye njaa sio hawa matozi wao wanalipwa mi ela mingiii bila hata kuisotoe uwanjani.

Pale Manchester United hua namkubali kipa wao tu. That dude is made of steel tangu aodoke Fergie huyu dogo single-handedly amewabeba mpaka sasa. But he ain't a robot anahitaji wengine watimize majukumu yao uwajani.

YNWA
 
Cheka tu Miss Liverpool wanakuongezea siku za kufaidi soka kambambe ya Norbert Klopp na vijana wake.

YNWA
Hakika
Nazidi kuona jinsi gani Klopp na vijana wake walivyo mafundi.

Kipindi Huyo CR wao 7 anatua hapo traford wakasema kwa jeuri 'Cr 7 ni man u[emoji108]'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo si mambo sasa huko man u hakuna cha Cr 7 sijui Bruno..wote wamepoteana.
 
Wazee wangechanganya vyema na vijana wenye njaa sio hawa matozi wao wanalipwa mi ela mingiii bila hata kuisotoe uwanjani.

Pale Manchester United hua namkubali kipa wao tu. That dude is made of steel tangu aodoke Fergie huyu dogo single-handedly amewabeba mpaka sasa. But he ain't a robot anahitaji wengine watimize majukumu yao uwajani.

YNWA
Huyo De Gea mwenyewe walishamtukana[emoji1787]
Mashabiki wa Man u wamevurugwa nyie[emoji23]
Sasa kama wachezaji hawahangaiki,kipa yeye atafanyaje kama si kufungwa[emoji1787]
 
Hahahaha wamevurugwa siku wataanza sasa kumtukana Ole utadhani bado yupo kibaruani.

YNWA
Wamtukane mara ngapi??
Walishamtukana...
Yaani walitandikwa wakasema chanzo ni Ole..aliacha timu imevurugika.

Haya sasa,Mtaalamu wa gengeni amepanga timu bado inachakazwa vibaya.

Bora Ole alijivua na hii mikosi[emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom