Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahahaha hao watasaka mchawi watarudi nyuma sana utasikia matusi mpaka kwe Fergie, Van Gal, Moyes na Mourinho 😂😂😂😂😂...Wamtukane mara ngapi??
Walishamtukana...
Yaani walitandikwa wakasema chanzo ni Ole..aliacha timu imevurugika.
Haya sasa,Mtaalamu wa gengeni amepanga timu bado inachakazwa vibaya.
Bora Ole alijivua na hii mikosi![]()
YNWA






