Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Ewaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
YNWA
Mkuu naomba uendelee na zile nondo zetu..
Wachezaji wengi bado hatukuwachambua...pia unichambulie na huyu dogo mpya Diaz anayewafanya watu wajione wapumbavu wasiofanya chochote uwanjani Kwa moto anaowapelekea .
Dogo anakaba hadi mtu anatamani kulia.