Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Last time tulipo wafunga zile 4 bila mlikuwa kwenye form hatari, ilikuwa baada yakufungwa Na city na chelsea,hamkufungwa tena kwenye mechi 8 mfululizo kwenye ligi mkashinda mechi 6 Mechi mbili mkatoka sare mlivyokutana na Liverpool mkala goli 4 hizo.
Wewe jifunze mpira, ile arsenal haikuwa na Experience kama sasa. Tushacheza game nyingi at elite level kwa sasa, so we are doing fine, Sisemi kuwa Arsenal atashinda ila Kama ikitokea Liverpool akashinda kesho sababu itakuwa Liverpool anaquality & profile kuzidi Arsenal wala sio tactical issue coz Mikel Arteta has got tactical masterclass.

lakini tukiongea tactically Arsenal kuna profile anakosa Kushinda dhidi ya Liverpool, mfano CF anayexcel physically & technically i.e Vlahovic, na CM anayexcel kwenye phases zote hapo Liverpool angekufa asubuhi kweupee. Kama ikitokea Arsenal kashinda kesho sababu itakuwa Arteta kamu-outclass Klopp tactically ila quality-wise kwa sasa Liverpool are better side.
 
Hahahaha pale Liverpool kwa sasa ma Scouser ni Jones, TAA na Elliott hawa bwana wanasemaga for the love of the badge wanakua inclined kutulia Liverpool mazingira yakiruhusu design kama Gerrard, Carragher nk sasa hao wachezaji wengine wao badge kwao sio hoja mbali wapo ki ajira ama kimpunga zaidi na kinachowasukuma ukiachana ni kuelewa vyema project ya Klopp ni pesaa kama pesaaaaa.

Ngumu sana zaidi ni pale umri wa mchezaji husika upo around 30 yaaani hapo ishu za mshahara na mikataba Liverpool hua kuna sintofahamu nyingi sana.

Kwa Salah yetu macho. Kashasema maamuzi yapo mkononi mwa FSG na Klopp nae kasema maamuzi yapo mkononi mwa Salah mpaka hapo kila mmoja anasema lake. Sie tuagize pop corn kipindi hicho tuone mambo yatakavyokua ikifika aidha June 2023 ama kabla.

YNWA
Bwana we nimeshafanya maamuzi aondoke asiondoke mi nitasimama na Liverpool maana hatuwezi badili uhalisia
 
We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.

Upepo umekata ndugu .

Pale panaitwa Selhurst Park muulize Surez atakwambia 2014 nini kilimpata akituumiza dogo Gayle.

Yaaani ubora wa EPL ndio huu matokeo ya mfukoni hamna kabisa.

YNWA
Point 2 kwa man city zimesha potea hivyo, na bila kubebwa kwenye mechi ya Everton saiz wangekuwa wanatufukuzia kwa tochi.
 
Bwana we nimeshafanya maamuzi aondoke asiondoke mi nitasimama na Liverpool maana hatuwezi badili uhalisia
😂😂😂😂Of course Liverpool itaendelea kuwepo hivyo kila mmoja aangalie maslahi yake FSG waangalie yao na Salah aangalie yake.

Salah ndio anaongoza kwa kuuza jezi Liverpool.

Salah ndio anaongoza kufunga magoli na ma assist pale mbele.

Kibiashara analipa.

Uwanjani analipa.

Ana mvuto na yeye na wakala wake wanajua hilo hivyo wanasema walipwe wanachostahili sasa hio tafsri ndio mtihani maana yeye akisema yupo worthy kulipwa zaidi ya £400k kwa wiki ni sawa nao FSG wakisema haki yake kulipwa ni £280k ni sawa vile vile.

We need harmony in the dressing room hivyo as long as wachezaji wengine are at peace aidha aongezwe ama asepe zake sie mashabiki yetu macho.

YNWA
 
Wewe jifunze mpira, ile arsenal haikuwa na Experience kama sasa. Tushacheza game nyingi at elite level kwa sasa, so we are doing fine, Sisemi kuwa Arsenal atashinda ila Kama ikitokea Liverpool akashinda kesho sababu itakuwa Liverpool anaquality & profile kuzidi Arsenal wala sio tactical issue coz Mikel Arteta has got tactical masterclass.

lakini tukiongea tactically Arsenal kuna profile anakosa Kushinda dhidi ya Liverpool, mfano CF anayexcel physically & technically i.e Vlahovic, na CM anayexcel kwenye phases zote hapo Liverpool angekufa asubuhi kweupee. Kama ikitokea Arsenal kashinda kesho sababu itakuwa Arteta kamu-outclass Klopp tactically ila quality-wise kwa sasa Liverpool are better side.

Upo kiujumla ila hapo kwenye Tactical Masterclass itabidi asubiri kwanza tumpime kwa hilo! Kushinda 5 - 6 games in row bado haijaprove his tactical masterclass.

Na kuhusu Arsenal kumfunga Liverpool upo sahihi hata mimi naamini inawezekana kutokana na form yenu ya kipindi hichi, but kuna factors nyingi tu kutufanya tupoteze game na sio lazima Klopp awe outclassed by Arteta.
Mfano Mechi ya Fainali ya UCL between Arsenal v/s Barcelona mwaka 2006 ile game mulipoteza but sio kwamba Rijkaad alimu-outclass Wenger bali Arsenal ilikuwa weakened baada ya Red Card na pia baadhi ya referee's bad decision.
Pis kuna vitu kama Defensive errors including own goal (Kama Magwaya juzi) inaweza kupelekea kupoteza mchezo.
 
Adjustments.jpg
 
Yule Refa ametusababishia tusitangaze ubingwa
Niliona humu kuna shabiki alidai yule refa ana mdogo wake ni season ticket holder wa Manchester City nikasema ebo kwamba nae anataka Kipara anyayue kwapa ama namna gani.

Mpaka sasa tungekua tumemtangulia Kipara.

Ila fresh tu kila mmoja ashinde mechi zake tutaelewana tu.

Bro game ya kesho inanipa headache yani migraine sio ya kawaida.
 
Mkuu BARDIZBAH jana ulitazama mechi?
Wachezaji wa Manchester City wame panic duh kumbe Liverpool akikufujuza sio small issue kama wengine wanavyodhani kuna muda kipindi cha pili Debruyne aliwafokea wenzie balaa 😂😂...

Sie hayatuhusu.

Jana Kipara kapoaa mpaka akasahau kuna sub ya wachezaji.

Tukumbashane kuna kipindi walituacha pointi 13 😳😳😳😳😳😳 na sasa on paper ni pointi 1.

Hizi gemu Kipara watazidi kumnyoa nywele.

Bado ana gemu ngumu sana na Westham, Brighton, Aston Villa, Newcastle na Wolves hapo nategemea moja atatoa sare ama kipigo. Hii ndio raha ya EPL.

Kipara anamuiga Klopp mambo ya false 9 😂😂😂yamemkuta yaaani Juni 2022 naona straika mapema sana anatua.

Sasa tukamilishe kazi kwa kuwafunga Arsenal ndio kabisaaaa Kipara atakosa na usingizi.

Kwa sasa hakuna timu ya kututisha ndugu just relax maana pazuri ni kwamba hata tunae mkimbiza nae anakamatika. Hivyo we can still afford to lose 1 na bado tukaamsha nae mpaka siku ya mwisho.

YNWA
Kapiga false #9 akapata false results
 
Kapiga false #9 akapata false results
Hahahaha yaaani ile ela ya Grealish bora wangepeleka kwa Kane mazima wangekua pazuri sana.

Grealish MF sasa anatumika kama winger, ukija kwa Foden winger anatumika kama CM au False 9 haha sasa hapo unategemea nini.

Klopp kwa sasa amejaaliwa utajiri wa striking force matata sana. Kiasi Origi, Taikumi match day hawana chao.

YNWA
 
Bro game ya kesho inanipa headache yani migraine sio ya kawaida.
Relax Kaka. Arsenal hawapaki basi wala kaunta wao wana mpira wa mpango hivyo watafunguka tu na sie hua tuna shine kwa timu inayoshambulia mazima kwa kua tuna wakimbiaji pale mbele.

Arsenal wanashambulia kusaka top 4 hivyo itakua open game.

Hii gemu tuna shinda.

Nina imani na vijana.

Klopp sasa mtihani kwa wachezaji wasiwe na papara kisa Manchester City ametoa sare. Psychological effects ya sare ya jana lazima iwe addressed kupunguza presha kwa wachezaji wetu.

Mechi bado 10 i guess ni parefu sana anything is possible kati yetu na Manchester City.

Our players need patience ya levo ya juu.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom