Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba refarii alimtuma Kepa apaishe Mpira mawinguni?
20220307_114906.jpg
 
Ule mpira umeonekana Kigoma.

Yule Kepa huku kwenye mpira amepotea njia yule Rugby angemfaa kupiga penati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

YNWA
Aisee kwa lile shuti lake itakuwa kweli mpira umetua Kasulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mmezoea kubebwa na marefa wa michongo...

View attachment 2145302

Soon tunawaexpose
Everton vs Manchester City walionewa wakalalamika na wakajibiwa wapo sahihi hawakutendewa haki wakaombwa msamaha.

Sasa nyie kama mnaona mlionewa mlishindwa nini kuomba clarification na ni haki yenu kabisa na Uongozi wa ma refa UK ungewajibu.

Whining won't bring back Carabao au kuwapa ubingwa wa EPL. Nyie pambaneni UCL, FA mengine mjipange msimu ujao.

YNWA
 
Hahahaha itabidi MosDef afikishe salamu zako kwao unaweza kuambulia guest ticket pale tunapocheza Paris fainali ya Uefa 2022.

YNWA
Hivi MosDef yuko wapi anipe connection jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anipe japo namba ya Joel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom