Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Dah! Kweli aisee kwa performance hii sioni tukichukua ubingwa. Anyway acha tuendelee kujipa matumaini.
Mkuu inter wako vizuri sana hasa physic.game ya kwanza ilikuwa kama hii ya leo tu hakuna utofauti walitukamata hivyo hivyo kwenye kiungo hata Thiago Alifail game ya kwanza.
Naona kama kuwa na goli mbili mkononi tulikuwa tumelizika sana siwezi kulaumu maana hata me ningelizika tu hata sisi mashabiki tuliona tumesha watoa
Hii imempa funzo klopp na wachezaji wake tutakaa vizuri tu ,kukutana beta timu ndio Nzuri tufanyie kazi mapungufu yetu.kuliko kushinda 7 - 0 ,kumbe ukikutana na beta timu Safari imewadia.

