juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Huo ni mkopo tu, last year kama sijakosea alikataa kuuza klabu kwa bilionea wa kingereza radclifeKwa waarabu hio 2b ni ela ya mboga, ajaribu kuisusa klabu aone maajabu
Ataiuza yeye atakapotaka
Huo ni mkopo tu, last year kama sijakosea alikataa kuuza klabu kwa bilionea wa kingereza radclifeKwa waarabu hio 2b ni ela ya mboga, ajaribu kuisusa klabu aone maajabu
Tukutane fainal or knockout yeyote ile ndio utajua hujuiYaani Chelsea anawasumbua na kuwapeleka 120 ,huyo Chelsea tungemkaanga na kumsosomola na kachumbali ndani ya dakika 90 tu ...
Diaz ni zao la mpira wa kitaa.Pale kwa Diaz mmepata mtu, kuna mda nilikuwa namuonea huruma Chalobah
Tumekugonga nje ndani with zero shots on Target....na hii Chelsea yako ...unasema Nini SasaUnamaanisha Chelsea ipi mkuu?



Tena nawatamani nyie jamaaTukutane fainal or knockout yeyote ile ndio utajua hujui


mtajua hamjui ...Bwana wee naona aidha Mane, Firmino, Salah kuna mmoja safari imefika.Darwin NUNEZ NI HABARI NYINGINE,,Kama NI kweli anahitajika Basi hakika pale tutakuwa tuna MTU NA NUSU
Ndio maana halisi ya burudani.Ndio mpira ulivyo lazima mshindi apatikane hiv sijui nyinyi mkicheza na sisi game inakuwa Kali kweli kweli
Hahaha kweli kabisa wachezaji wa UK wapo overrated maana Diaz kwa mishe hizi alitakiwa bei iwe £150m. Kwanza dogo ana miaka 25 tu na lugha ya malikia bado haipandi vizuri imagine akishaanza kuelewa waalimu wachezaji na wenzake huyu si atakua balaa.Ndo uingereza hio, utaambiwa Elliot ana thamani kuliko Diaz
Hahaha Kepa hivi karibuni kawatoa kibingwa penati kama mara 3 hivyo ana rekodi powa kabisa.Alafu wakamtoa mendy 😀😀,angewasaidia kwenye penalt
Lakini mechi nyingi nilizoziona mimi,kipa akibadilishwa kwenye penalt basi kinachofuata ni kushindwaSiyo mara ya kwanza kufanya hivyo na imeshawork mara kadhaa.
Mendy penati anazoweza kudaka ni zile mtu anapiga kimasihara....Lakini mechi nyingi nilizoziona mimi,kipa akibadilishwa kwenye penalt basi kinachofuata ni kushindwa
Hahaha Kepa hivi karibuni kawatoa kibingwa penati kama mara 3 hivyo ana rekodi powa kabisa.
Kama unavyojua penati huna hazina mwenyewe na pale Kepa alijiaada kudaka na sio kupiga itakua ilimstua mno kwamba sasa ni kipa kwa kipa hakutegmea kabisa.
YNWA
Duuh Mondela dogo Kelleher hajafika hata level ya sweeper keeper Allison.Uwepo wa Kelleher jana umetufanya tunyanyue Carabao, huyu jamaa kajituma sana maana ame save mashoot ambayo nafikiri angekuwa ni Allison tungekuwa tunazungumza habari nyingine, Kiukweli kama kunamtu ananamba za sim za klopp anipe ili nimwambie awe anafanya Rotation ya Allison na Kelleher![]()
Wangeanza tena wachezaji upya hahaha jana naona ulizimika kabisa kwa furaha.Hata mimi sikutegemea kama wachezaji wote wataisha na watapiga makipa
Nilitamani pia mpira uendelee,,baada ya makipa kupiga sijui huwa nini kinafuata.
Kudaka penalt ni kazi mno..ila jamaa jinsi alivyo mzuri basi angepangua hata moja.Mendy penati anazoweza kudaka ni zile mtu anapiga kimasihara....
Mfano kama ile aliyopiga Fabinho kama sijakosea.
Japo kwenye afcon nakumbua kuna penati alicheza against misri ila siyo kawaida.
Jana niliwehuka😂😂Wangeanza tena wachezaji upya hahaha jana naona ulizimika kabisa kwa furaha.
Hongera sana kwa ushindi Miss Liverpool Saint Anne.
YNWA
Hiv kwanini goal la Lukaku lilikataliwa kigezo gani kilitumika maana line ilionyesha kabisa sio offsideDuuh Mondela dogo Kelleher hajafika hata level ya sweeper keeper Allison.
Jana kacheza vizuri sana lakini any day of week nitamchagua Allison.
Tuna baraka kua nao wote wawili kikosini ni hazina kubwa kua na ma kipa wa uhakika kikosini.
YNWA
Akapiga goal kickHahaha Kepa hivi karibuni kawatoa kibingwa penati kama mara 3 hivyo ana rekodi powa kabisa.
Kama unavyojua penati huna hazina mwenyewe na pale Kepa alijiaada kudaka na sio kupiga itakua ilimstua mno kwamba sasa ni kipa kwa kipa hakutegmea kabisa.
YNWA