Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duuh Mondela dogo Kelleher hajafika hata level ya sweeper keeper Allison.

Jana kacheza vizuri sana lakini any day of week nitamchagua Allison.

Tuna baraka kua nao wote wawili kikosini ni hazina kubwa kua na ma kipa wa uhakika kikosini.

YNWA

Mkuu me sikupenda kuwekwa huyo dogo golini nilikuwa nawasiwasi sana nilikasilika sana.

Nilikuwa nataka allison ndio akae golini.ila dogo kafanya vizuri tu.
 
FB_IMG_16460311908933350.jpg
Kepa fundi Sana
 
Mkuu me sikupenda kuwekwa huyo dogo golini nilikuwa nawasiwasi sana nilikasilika sana.

Nilikuwa nataka allison ndio akae golini.ila dogo kafanya vizuri tu.
Na angekaa Allison tungepigwa ile dakika ya 90,,
Huyu Kelleher aliuchomoa mpira na mguu,sijui hata Alichomoa vipi..
Angekuwa Allison tungeshapigwa pale na mechi ingeishia kule.
 
Baada ya ile game ya Arsenal Klopp ali confirm kabisa kuwa kipa atakaedaka kwenye final ni Kelleher so ilikuwa inajulikana mapema tu.

Nilikuwa nalijua hilo kuanzia muda huo nilikuwa nasikilizia kama atabadilisha mawazo Klopp.

Nilihisi furaha aliyokuwa nayo baada ya mechi tu ndio akaropoka hivyo, kumbe alimaanisha kweli.
 
Mbele ya Mane na Salah anisamehe tu.
Nampendaga mno Mane,,na sura yake ya kipole ile kama roho yake yaani.
Hahaha Firmino na Mane wanalipilika ila sasa Mflame wetu Mo Salah ndio balaa mshahara anaotaka.
Naona sasa baada ya dogo Diaz kuonyesha uwezo sasa FSG wanakwenda mazima kwa Nunez Benfica huu ni ujumbe kwa Salah na kambi yake kwamba klabu inajipanga na maisha bila wao ma top performers pale mbele.

Pazuri kwa Salah au Mane wanaweza kumuuza PSG Salah tetesi ni kwamba Real Madrid wanawachukua kwa mpigo Mbappe na Haaland hivyo itakua ngumu kwao kuwachukua tena Mane na Salah.

Juni 2022 Julian Ward ana kibarua matata sana.

Wafauatao mikataba inaisha June 2023.
Keita
Salah
Mane
Firmino
Ox.

Kwa hao hapo Ox na Keita 🙈🙈 Juni hii FSG wawapige bei mapema tu.


YNWA
 
Nilikuwa nalijua hilo kuanzia muda huo nilikuwa nasikilizia kama atabadilisha mawazo Klopp.

Nilihisi furaha aliyokuwa nayo baada ya mechi tu ndio akaropoka hivyo, kumbe alimaanisha kweli.
Nadhani kama kocha huwa anapangia wachezaji mechi au tournament watakazocheza so Ali ni wa CL na PL halafu Kelleher ndio wa hizi cup competition.

So inakuwa unfair mchezaji akomae mwanzo mwisho halafu uje umtose fainal. Sometimes inabidi umpe nafasi na yeye kama youngster a-shine kwenye big stage.

Unakumbuka ila season yà Karius CL na Mignolet PL. Karius alidaka game zote za CL mpaka fainal ndio akaenda kuharibu. Yeye alikuwa special kwaajili ya CL tu.
 
To be honest pale mwenyewe sijaelewa mpaka mda huu kwanini imekuwa offside. Lukaku anaonekana yupo onside ila ule mstari sijui ilikuwaje.

Sometimes unlucky things happen. Tulikuwa na bahati sisi.
Na ndio maana wanasemaga ushindi pia ni bahati maana jana ile pale nilijua tumelala.

Huyu kocha wa Liverpool upande wa position ni balaa hizi offside wanavyokomaa na kuweka nidhamu hawa mabeki ni balaa week in week out. Wasi wasi ni kwamba ipo siku tutapigwa na VAR iwe kimya haha maana khaa hizi margin ni ndogo mno sijui kidevu cha Lukaku ndio offside.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom