Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na ndio maana wanasemaga ushindi pia ni bahati maana jana ile pale nilijua tumelala.

Huyu kocha wa Liverpool upande wa position ni balaa hizi offside wanavyokomaa na kuweka nidhamu hawa mabeki ni balaa week in week out. Wasi wasi ni kwamba ipo siku tutapigwa na VAR iwe kimya haha maana khaa hizi margin ni ndogo mno sijui kidevu cha Lukaku ndio offside.

YNWA
Hahahaa ila nilijua ndio imeisha na mpaka sasa hivi sijaelewa ilikuwaje pale. Anyway chamuhimu sisi tushachukua chetu tushasepa.
 
Screenshot_20220228_102812_com.android.chrome_edit_163070633214699.jpg


Its was done in style.

Whats a game.

Only Thiago injury was the bad news jana.

Next game Norwich FA.

YNWA
 
Yaani Chelsea anawasumbua na kuwapeleka 120 ,huyo Chelsea tungemkaanga na kumsosomola na kachumbali ndani ya dakika 90 tu ...

Inawezekana nimepoteza kumbukumbu lakini hebu nikumbushe! Hawa Chelsea si ndiyo waliobeba UCL mbele yako tena ndani ya dakika 45 za kwanza?
Sasa unakosaje Shukurani kwa aliyekulipizia Kisasi?
 
Hiv kwanini goal la Lukaku lilikataliwa kigezo gani kilitumika maana line ilionyesha kabisa sio offside

Sababu ni moja kati ya hizi 2:
1) Refa hakutafsiri sahihi sheria ya Offside.
2) Sheria ya Offside imebadilika lakini hatujapata update.

Lakini siamini kama Refa Jana alikuwa upande wa Liverpool kwasababu:-

- Kuna Mpira aliupiga Salah ukamgonga Covasic kwenye Mkono, hapo Refa angekuwa upande wetu basi angeweza kutuzawadia Tuta kiulaini tu bila ya lawama yoyote lakini Kapeta.

Kwa Mtazamo wangu Refa jana kafanya Makosa 3 tu makubwa, mengine ya sijui mtu kavutwa jezi hayo naachana nayo:-

1) KOSA LA KWANZA:
- Faulo aliyoifanya Keita ilikuwa ni Red Card na si Vinginevyo kwani kacheza Serious Foul kwa kukusudia.

2) KOSA LA PILI:
- Goli la Lukaku lilipaswa kukubaliwa.

3) KOVASIC KUSHIKA:
- Mpira alioupiga Salah na ukamgonga Kovacic kwenye mkono ulipaswa kuwa Penalty wapewe Liverpool lakini Refa Kapeta.

👉 Hivyo kwa makosa hayo ya pande zote yamefanya kubalance mchezo kwani wote wameathirika na wote wamefaidika.

NB: Vikosa vidogovidogo nimefanya negligible
 
Hakuna Timu isiyopoteza nafasi za wazi, na kama unakubali Timu yako inapoteza nafasi za wazi manayake unamaanisha Timu yako ni mbovu haiwezi kufunga.
Ni jana tu ndio tumewaste chance nyingi za wazi bila kupata goal.
 
Screenshot_20220228_105208_com.android.chrome_edit_164475585300943.jpg


Klopp is lucky.

Ila huyu mzee has some balls yaaani anaweza aje kumwazisha Kelleher mpaka mwisho fainali. Haha Klopp i salute you man.

Sasa Carvalho atue tu ameona kwa vitendo Klopp ana imani na vijana chipukizi.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom