Uyu chalii kaja kawakuta kawaacha, kiwango yake ni habari nyingineHuyu dogo akiwa updated zaidi ya hapo atakuwa monster aise, aongeze pumzi zaid naona leo pumzi ilimzimikia kuna muda.
All in all anastahili kila safa aise na tumelamba garasa hapa.
Hivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.Huyu dogo akiwa updated zaidi ya hapo atakuwa monster aise, aongeze pumzi zaid naona leo pumzi ilimzimikia kuna muda.
All in all anastahili kila safa aise na tumelamba garasa hapa.
Mabingwa wa dunia kwa wiki mbili tu, aibuHongereni sana kwa ubingwa wa EFL, sisi Kepa katuuza.
Still Chelsea bado ni mabingwa wa DUNIA.
Unadhan tim za wenzet ni kama za bongo.Baadala ya kuwaza nani atawalipa mishahara na posho zenu we unawaza fainali nyingine, labda 2025.
So long brother, time for regime change
Ndo uingereza hio, utaambiwa Elliot ana thamani kuliko DiazHivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.
Aafu umesikia tetesi?
Tunarudi Ureno tena Juni 2022 mazima Benfica kumchukua Darwin Nunez yaaani maisha Anfield yanazidi kua matamu.
Katazame stat za Darwin utaona alivyo.
YNWA
Alafu wakamtoa mendy 😀😀,angewasaidia kwenye penaltPamoja ndugu.
Ila kwa Mendy pale mna kipa aisee hivi ile ya Mane aliokoa aje.
Mashabiki popote walipoangalia hii mechi kakika imewapa burudani sana.
Chelsea vw Liverpool means more hatumwi mtoto dukani.
YNWA
Nyie acheni kabisaView attachment 2133369
Hahahaha just hahaha just hahaha.
He who wins has the last laugh 😂 😂
We are the winners.
YNWA
Hapa coacher alitumia tope kuwaza,hakutumia akili.Alafu wakamtoa mendy 😀😀,angewasaidia kwenye penalt
Mwamba Klopp,View attachment 2133378
And by the we are just getting started...
Whats next haha
Epl?
UCL?
FA?
YNWA
Diaz yale macontrol sio ya dunia hiiNiwapongeze kops wote kwa kikombe hiki. Nimefurahi sana kwa dogo Kelleh. Klopp kamwamini tangu mwanzo. Na akaamua kumwachia amalize alichokianza.
Huyu Diaz wallah akiendelea hivi tutarajie makubwa mengi toka kwake.
Again congrat Kops.
It remains to be seen. Sugueni magoti, pigeni maombi, acheni kibri kama lukaku na kepa!Unadhan tim za wenzet ni kama za bongo.
FYI-Roman still ni mmiliki wa tim,.
Kalleher our team savior
Anatisha, anarudi, aminya, anavuta, ana... dah hatari tupuDiaz yale macontrol sio ya dunia hii
WoooyeHongereni Wana Kops liverpool woooye