Kwa waarabu hio 2b ni ela ya mboga, ajaribu kuisusa klabu aone maajabuEven putin akionyesha utaira wake
Roman anawadai chelsea almost 2BLN, yani ukitaka kuistaifisha its like kama unaiua kabisaaa. N how many people are gonna lose their job.
Boris mwenyewe last time anaulizwa kuhus abramovich anabak anajichanganya