Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo kusema mkifunga goal 2 tumewamaliza tunaweza kuongeza zaidi unazungumzia Chelsea ipi Unaweza kufanya hivyo au ushajitoa ufahamu nyinyi si mlitufunga goal 2 ndani ya half ya 1 hiyo hiyo zikarudi zote na tukawazidi game mpaka mkatamani game iishe au sio nyinyi
Umemaliza?
 
It remains to be seen. Sugueni magoti, pigeni maombi, acheni kibri kama lukaku na kepa!
Naona unaongea kishabiki zaidi fatilia mambo

Do you think Chelsea inaweza staifishwa, Roman is not stupid as you think,
Roman still anaweza endelea kuinvest

Tim now iko chin ya Chelsea foundation huku issue zote zinahusu transfer(in n out) contract, yakiendeshwa na marina na cech.

Nenda kasome barua ya roman n source zingine je ile barua ilikuwa inamaana gani
 
Hivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.

Aafu umesikia tetesi?

Tunarudi Ureno tena Juni 2022 mazima Benfica kumchukua Darwin Nunez yaaani maisha Anfield yanazidi kua matamu.

Katazame stat za Darwin utaona alivyo.

YNWA
Aisee huyo Nunez sio mchezo, tukimpata huyu tunaagana na wazee wetu pale mbele kwa heshima kabisa!
 
Naona unaongea kishabiki zaidi fatilia mambo

Do you think Chelsea inaweza staifishwa, Roman is not stupid as you think,
Roman still anaweza endelea kuinvest

Tim now iko chin ya Chelsea foundation huku issue zote zinahusu transfer(in n out) contract, yakiendeshwa na marina na cech.

Nenda kasome barua ya roman n source zingine je ile barua ilikuwa inamaana gani
Naelewa kila kitu mkuu

In theory, a great deal or very little. He could in theory be denied entry to Britain while sanctions persist or for the rest of his life. He could have his British assets - property, bank accounts, and even the club - seized by the state, but the legality of such moves would have to be examined, legislated and probably appealed by the British executive and judiciary.

Omba Mungu Putin asituonyeshe utaira wake!
 
OllaChuga Oc
juan david
Hziyech22

Na wageni wote hapa poleni sana kwa kukos Carabao.

Kushindwa leo sio mwisho wa Mashindano bado kuna FA, UCL pambanane huko jamaa zangu.

Tunashukuru kwa kutupa proper check kwa dakika 120+.

YNWA
Ndio mpira ulivyo lazima mshindi apatikane hiv sijui nyinyi mkicheza na sisi game inakuwa Kali kweli kweli
 
Hivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.

Aafu umesikia tetesi?

Tunarudi Ureno tena Juni 2022 mazima Benfica kumchukua Darwin Nunez yaaani maisha Anfield yanazidi kua matamu.

Katazame stat za Darwin utaona alivyo.

YNWA
Darwin NUNEZ NI HABARI NYINGINE,,Kama NI kweli anahitajika Basi hakika pale tutakuwa tuna MTU NA NUSU
 
Naelewa kila kitu mkuu

In theory, a great deal or very little. He could in theory be denied entry to Britain while sanctions persist or for the rest of his life. He could have his British assets - property, bank accounts, and even the club - seized by the state, but the legality of such moves would have to be examined, legislated and probably appealed by the British executive and judiciary.

Omba Mungu Putin asituonyeshe utaira wake!
Even putin akionyesha utaira wake

Roman anawadai chelsea almost 2BLN, yani ukitaka kuistaifisha its like kama unaiua kabisaaa. N how many people are gonna lose their job.

Boris mwenyewe last time anaulizwa kuhus abramovich anabak anajichanganya
 
Hivi najiulizaga unatoa aje £100m kwa Grealish wakati kuna chipukizi kama huyu kwa bei cheee.

Aafu umesikia tetesi?

Tunarudi Ureno tena Juni 2022 mazima Benfica kumchukua Darwin Nunez yaaani maisha Anfield yanazidi kua matamu.

Katazame stat za Darwin utaona alivyo.

YNWA
Pale kwa Diaz mmepata mtu, kuna mda nilikuwa namuonea huruma Chalobah
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom