Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uwepo wa Kelleher jana umetufanya tunyanyue Carabao, huyu jamaa kajituma sana maana ame save mashoot ambayo nafikiri angekuwa ni Allison tungekuwa tunazungumza habari nyingine, Kiukweli kama kunamtu ananamba za sim za klopp anipe ili nimwambie awe anafanya Rotation ya Allison na Kelleher
 
Even putin akionyesha utaira wake

Roman anawadai chelsea almost 2BLN, yani ukitaka kuistaifisha its like kama unaiua kabisaaa. N how many people are gonna lose their job.

Boris mwenyewe last time anaulizwa kuhus abramovich anabak anajichanganya
Yes nimesoma mahali. Kama Chelsea ikiwa Seized probably ndio utakuwa mwisho wa hiyo club.

Kitu ambacho kinaweza kuwawia vigumu hata wanaofanya hayo maamuzi.
 
Jana masifa ya Kante na Kovacic kama ya last game sikuyaona.
Fabinho aliwafanya Kitu mbaya! Kuwa out standing kwenye Midfield ndiyo kitu pekee kilichotufanya tuwaweze Chelsea
Kumiss zile clear chances ndio kitu kilifanya game isiishe 90 minutes
 
Yaani Chelsea anawasumbua na kuwapeleka 120 ,huyo Chelsea tungemkaanga na kumsosomola na kachumbali ndani ya dakika 90 tu ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom