Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mkuu ukielewa kazi ya ma MFs wetu anavyotaka Klopp basi utajua vyema hizi lawama zinaanza wapi na kuishia wapi...Kabisa Tunadefence mbovu mno aisee
Night Doctor...Muda hubadilika usiseme mbaya wetu ni man city na tukiendelea na ujuaji aseno anatubonda na sitoshituka...
Tunacheza mpira mmoja wa kiboya sana... Rubbish football sijui robo alkua anaona anachocheza plus mwenzake mane anaporwa mpira kaunta goal...
Mid sasa ox na thiago bora nani mara mia thiago sio ox ila klopp sasa anajaribu watu huku anatafta kombe...
Kuna siku mbinu zake zote zitafeli... Na atatikiwa acheze real football sio kulaumu ooh sijui lile sio goal sijui boyz played well played well. Ya mafii..
Tu reduce expectations na hii team haina maajabu tu reduce tukishinda tufurahi tukipigwa tutulie.... So far ni ajabu ndo tu napigwa leo tunacheza soka la kipumbavu sana hasa tukikutana na mid table teams ni kama wachezaji wanachagua mechi za kucheza.... Rubbish mindsets..
Usku mwema chief
Ynwa [emoji3590]
Arsenal watawapita wiki ijayoNight Doctor...
Wachezaji wanakamia mechi aisee kuna siku wanacheza vyema with fully credentials za able Champions to be lakini kuna siku wanacheza kama hatuna Club goals msimu huu as if huu msimu target ni kumaliza nafasi za UCL basi inatosha..
Lazima wajiangalie kwenye kioo wajiulize maswali magumu sana je wanastahili kweli kuwa uwanjani wakishindana ama wanakua kwa vile wanajua Klopp ana kikosi finyu..
Hatuweza kwenda namna hii business as usual tu kwa vile tupo big 4 basi inatosha hapana aisee..
Arsenal duuh wamenishangaza sana aisee yaaaaani tumewaacha kwa pointi 2 tu pamoja na kupoteana kule ligi ikivyoaanza yaaani kweli umakini unahitajika otherwise upepo unaweza kutubadilikia kabisaaa....
Kuna wiki 2 za mapumziko Klopp has to reflect we are leaving lots of spaces and we are being put to the sword,our MF is typically being overran by this teams ambazo wanafanya homework yao vyema dhidi yetu..
YNWA
Ukikuta kocha badala ya kukubali udhaifu kama TT yeye analalamika tu, basi kibarua kimemshinda
Siwezi kushangaa aisee leo tumepewa reality check ya nguvu sanaaa... Tumekua na bahati nzuri sana washindani wetu wanawai kucheza kabla yetu lakini badala hio bahati iwe ya msaada imekua ni balaa tupu..Arsenal watawapita wiki ijayo
Katika makocha wanaoongoza kutafuta pa kutupia lawama Klopp ni namba moja. Kila mechi atakayopoteza anakuja na lawama.
Ndg kama kuna mtu anatukana wachezaji JF wacha awatukane hasira ziishe maana hawawezi kuona hayo matusi ,ni sawasawa na kuwatukana polisi ukiwa kwako pekeyako .Wana Liverpool wenzangu,hamna haja ya kuanza kutukana wachezaji,kucheza chini ya kiwango ni kawaida kwa mchezaji!
Alison will bounce back,atajirekebisha atatupa tena clean sheets
Waache Liverpool’s Pep waendelee kutukana wachezaji,sisi Liverpool halisi tuendeleze umoja wetu
Wewe hauna Premier League 19Liverpool Trophies:
League Tittles: 19
Premier League Champions: 19
European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6
UEFA Europa League: 3
UEFA Super Cup: 4
NB; nimeona tukumbushane tu kidogo..[emoji3]
Usijipe hopesSiwezi kushangaa aisee leo tumepewa reality check ya nguvu sanaaa... Tumekua na bahati nzuri sana washindani wetu wanawai kucheza kabla yetu lakini badala hio bahati iwe ya msaada imekua ni balaa tupu..
Epl itarejea tena 20 November 2021 na mechi ya kwanza hio Jumamosi itakua ni Chelsea vs Leicester saa Tisa Unusu huku sisi Majogoo tukiwavaa Arsenal siku hio hio saa 2 usiku. Sasa usishangae Chelsea akakamatika na tukishindwa kutumia hayo matokeo to our advantage...
YNWA
Mashabiki wa Liverpool wanajifangaa wanajua mpira kisa ni vizee. Ni watu wanaojiona kweli kweli ngoja dawa iwaingie. Akili zenu zikae sawa.Mkuu tatizo hizi kuku zinaamini kikosi Chao ni Bora kuliko. ..Sasa mbaya zaidi hawana hata sub za maana [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umeongea kimpira na si kishabiki. Akili imeanza kuwakaa sawa. Narudia kusema kwenye mpira kila timu inaingia kupata point tatu. Lakini anaezidiwa mbinu hupoteza points akiwa sawa kimbinu wanagawana point.Nadhani tumekua na matokeo safi kabisa hivi karibuni mpaka tumesahau pengo la Gini linazidi kuonekana kabisa bila chenga...
Kwa sasa naona we take one game at a time otherwise hii EPL ndugu haina mwenyewe kwa sasa maana yasiyotarajiwa ndio hayooo yanatokea..
YNWA
Allison ukipiga tu imoo
Zoumaaaaaaaaa 🤣🤣🤣
Group cjui ndio jin lake mie sitaki kujua jinga zeee la kulalamika kila likifanya vbya
Agent kourt ZoumaHakuna aliyekimbia jukwaa Wewe hatujaanza kufungwa Leo mkuu.
Tupo hapa