Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi Sina shida na magoli ,ila tunavocheza tu ,kudadekiii nasikia rahaaaaa


Mmeona mpira wa kitabuni ,kuku nyie ....
 
Hii gemu vijana ni kama hawapo kabisa yaani hatuna hata shot on target...

Babu Milner ndio miguu inamkataa na hii 4 3 3 kutegemea Milner huyu huyu awai kupeleka mashumbulizi ni kumtafutia kadi nyekudu huyu.

Hii half time ya Klopp itakua muhimu sana awape maelekezo yenye kuleta mbinu mbadala maana hizi za 1st half zimefeli.

YNWA
 
Kwenye Timu yetu mpaka sasahivi tuna Wachezaji wawili tu ambao wanastatus ya :Liverpool's Legend' kabla hawajastaafu.

1) Jordan Henderson
2) Mo Salah

Na Wachezaji wawili ambao wapo nje ya Liverpool wana status ya 'Liverpool's Legend' kabla hawajastaafu

1) Lucas Leiva
2) Simon Mignolet

Haki ya Mungu nimeshasema njoni muniuwe
Na Daniel Agger.
 
Klopp ana kariri alipoona kikosi hiki cha Leo kilifanya vizuri kwa Porto akahisi kwa Man CTY itakuwa hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom