Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tche tche tche tusikitike ..hapa nayiona Liverpool ikiteketea.

mfano huyu man city hawezi kukubali kupigwa Mara tatu ni lazima atawakazia ninyi, yani apigwa na spurs, apigwe na Chelsea (next week) halafu na nyie tena?? Hapana, so hapo kwako watford naona mutaambulia draw tu mengine tuyaache kama yalivyo mahesabu tayari hapo.

Rest In Piece Liverkuku.
CFC
Mkuu ushoga wako ni pro max

You can’t stay out of LFC dick kabisa
 
hao uchwara wanatoa ubingwa au ubingwa ndio kuwafunga wakubwa eh?

Fergie alihangaika kupata points kwa unaowaita uchwara timu kubwa ot alihakikisha points 3 au 1.

Ndiye kocha mwenye epl nyingi.
Muda ukifika utaelewa nilikuwa naongea nini.

Saiv bado upo gizani.
 
Wewe utaweza kumpiga spurs wewe? Yani unampiga Norwich halafu unajiona una timu..
Angalia huyo man Shityee kitu tunaenda mfanya hiyo next week ..ndio utaanza kujua kuwa tunakamilisha ratiba tu ubingwa ushatua London..

ENGLAND IS BLUE, NOT ONLY LONDON.
CFC

Tukimfunga Man City basi ile kauli ya Tuchel ya kutengeneza timu itakayoogopwa nitaanza kuielewa sasa.

Comeonchelsea
 
Wale mamluki wa spurs wapo wapi?tu nahitaji mujitokeze mutoe uchambuzi wa kwa nini mmepigwa kipigo heavy wakati mlitake advantage endapo spurs atashinda muendelee kuwa top of the table na mukasahau spurs anakutana na nani...siku ingine mkiwa mamluki muangalie na timu ya kuimamlukia ..ila timu yeyote inayokutana na Chelsea kwa sasa haina haja ya kuiombea njaa maana utakuja kupata matatizo bure tu.
CFC

Nakumbuka kipindi cha nyuma yule mwenyekiti wa liverpool halisi mr. malafyale nilikuwa namwambia ukiombea Chelsea njaa unibika mwenyewe. Siku hizi sijui yuko wapi?
 
We chalii wa Chelwowo kuanzia next week utapotea kwenye majukwaa ya watu humu
tche tche tche tusikitike ..hapa nayiona Liverpool ikiteketea.

mfano huyu man city hawezi kukubali kupigwa Mara tatu ni lazima atawakazia ninyi, yani apigwa na spurs, apigwe na Chelsea (next week) halafu na nyie tena?? Hapana, so hapo kwako watford naona mutaambulia draw tu mengine tuyaache kama yalivyo mahesabu tayari hapo.

Rest In Piece Liverkuku.
CFC
 
Wewe utaweza kumpiga spurs wewe? Yani unampiga Norwich halafu unajiona una timu..
Angalia huyo man Shityee kitu tunaenda mfanya hiyo next week ..ndio utaanza kujua kuwa tunakamilisha ratiba tu ubingwa ushatua London..

ENGLAND IS BLUE, NOT ONLY LONDON.
CFC
Mzee don't be too complacent. Japo uko na team nzuri lakini football ina mambo yake. Just hope for the best.
 
Mzee don't be too complacent. Japo uko na team nzuri lakini football ina mambo yake. Just hope for the best.
Sisi kwa sasa ubora wetu haupimiki mkuu ..hatutabiriki kabisa.
Hivyo tukikutana na Chelsea kwa sasa subiri tu dakika tisini zikamilike uhesabu idadi ya goli ulizochakazwa. Hatuna time na kujenga timu sisi tu nataka makombe tu mkuu.
Karibu sana Chelsea, hii formula uki apply hadi kwenye maisha unafanikiwa mkuu, yani usiwe na muda na mtu wewe angalia achievement tu.
CFC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom