Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Liverpool vs man City
Hii ni new EL- CLASICO walahiii...
Hii ni new EL- CLASICO walahiii...
Acha uvivu nenda kaangalia matobo mmeshatobolewa mara 6, hustahili hata kulinganisha defence ya Chelsea na ya kwenye, mayenu tu pale. Beki ni VVD tu wengine wanacheza tu Mdumange
Naona nyie ndio mna beki ndio maana mliwafunga moja bila.Nyie kuku huu msimu mutatoboka Sana hamuna beki Tena was kuzuia magoli.
Liverpool vs man City
Hii ni new EL- CLASICO walahiii...
Fisi tu anayewinda mkono wa binadamu akidhania mkono unaoswing utadondoka ndiye anayewaza kama weweBila shaka utakuwa mshabiki wa chelsea wewe yaani unaongoza ligi kwa point moja na wewe unajisifia unaongoza ligi.
Mnababahika sana kukaa juu hapo kwa muda tu,
Kutokufungwa mechi ni dalili moja wapo za kuwa bingwa,maana bingwa anafungwaga mechi chache sana .
JIbu swali kwanzaFederico Chiesa unamkumbuka huyu aliwafanya nini ni hiyo beki mnayojidai nayo
Kwani ball possession ndio inachukua ubingwa, you are kidding ehh!Kitu kilicho baki kwa chelsea kwa sasa ni kwamba wanaongoza league tu, hawakumbuki ball possession waliyo kuwa nayo kwa city![]()
Mimi nimechukua ubingwa wa ulaya mbele ya Shityee wewe umechukua point moja tu na kubamizwa bao mbili.Naona nyie ndio mna beki ndio maana mliwafunga moja bila.
hii niliisikia kaka...nikiweka ushabiki pembeni, lile goli zuri mno.🗣️ Peter Drury on Mo Salah's goal:
"That's PlayStation football. That's ridiculous. You cannot do that without a joystick."
This man is a poet.
Hamuna beki Tena na pale golini Alison ameshakuwa Shati😂😂😂Game ya leo midfield ndio imetuzingua.
Mkuu hivi tangu ligi imeanza tukishambuliwa hua husikii goosebumps 😂😂😂😂😂😂....Goli la pili mkuu ni deflection,sijaona goli tulilofungwa hapo la kulaumu beki mbovu.
Goli kama la mo salah alilowafunga man city hilo ndio ungesema beki mbovu .
Tuko vizuri na ubingwa msimu huu tunabeba .
16 Epl matches still unbeaten .
umemaliza kila kitu kaka.Mmetupa game nzuri sana second half sisi watazamaji kipindi cha kwanza mlipwaya sana ni city tu hawakuwa makini hasa hasa foden
Kipindi cha pili mlikuja tofauti, Salah ile ndio silaha ya KLOP, leo hii salah angekuwa Muingereza/Mzungu kutoka nchi yeyote angepata heshima anayostahili, salah nimuhim kama alivyomuhim van dijk kwenye tim yenu
Alikua foreign territory sio mahala pake aisee.Huyo Fabinho huyo nimemlaani vikali
Mkuu magoli aliyofungwa liver ni uzembe wa beki, usiangalie mfungaji angalia mpira ulipotoka kabla haujafika kwa mfungajiGoli la pili mkuu ni deflection,sijaona goli tulilofungwa hapo la kulaumu beki mbovu.
Goli kama la mo salah alilowafunga man city hilo ndio ungesema beki mbovu .
Tuko vizuri na ubingwa msimu huu tunabeba .
16 Epl matches still unbeaten .
Sasa kama ni nafasi yako si ungeshinda uishike?Nahiyo shot off target walijitahidi mno alafu et kutoa kwetu draw wanafulahi ili washike nafasi sio yao![]()
Mkuu Jones alikua na kazi mbili leo kwanza ku dictate tempo upande wa kushoto lakini pia akae mbega kwa mbega na Kevin na hakika kazi amefanya powa kabisa kasababisha magoli...Benardo kaonekana kama messi leo.
Yaani mildifield za kiingereza hazinaga ujanja kabisa zikikutana na mildifield zinazojua kunyumbulika vizuri.
Hii game Jones alitakiwa atoke mapema sana kwa nilivyoona.
Firmino akatafute changamoto nyingine kwa kweli.