Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Pusu is la shavu, mwaaa!Kama shabiki wa Man u napingana na hao jamaa wanaompendelea pep. Na sie tupogo kwenye hizo mbio![]()
Pusu is la shavu, mwaaa!Kama shabiki wa Man u napingana na hao jamaa wanaompendelea pep. Na sie tupogo kwenye hizo mbio![]()
Only money ,..Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alitoa kauli kuhusu kuzishambulia klabu zinazotumia pesa nyingi kwenye usajili.
Kocha wa Man city, Pep Guardiola amemjibu kwa kusema;
"Kuna wamiliki wa vilabu wanataka kufaidika wakati wamiliki wetu hawahitaji ata kufaidika."
"Ata kabla hakujawa na klabu nyengine ambazo wamiliki wao hawataki kufaidika utaiona Chelsea na Abramovich wao na utatuona na sisi na Sheikh Mansour."
"Sioni kama kuna haja ya kuwekeana vizuizi kwasababu tayari kuna sheria za matumizi ya pesa (Financial Fair Play) kama wanaona tunakosea wanaweza kwenda mahakamani na kulalamika."
"Tulimsajili Grealish sababu tulishauza kwa paundi milioni 60 kwahiyo unaweza kusema tumetumia paundi milioni 40 tu. Miaka iliyopita wakati Man utd wanashinda mataji, ni kwa kuwa walikuwa wanatumia pesa nyingi kuliko wengine."
"Unakumbuka? Kwa kipindi kile Man city ilishindwa kufanya hivyo sababu haikuwa na wamiliki kama waliopo sasa hivi."
Hiyo tarehe 28 tunawanyonyoa na chupa nyie kuku..
Tulia ndugu..Hiyo tarehe 28 tunawanyonyoa na chupa nyie kuku..
Safi sanaaa kama hawana mpunga wauze timu waacha bla bla mpira ni pesa.Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alitoa kauli kuhusu kuzishambulia klabu zinazotumia pesa nyingi kwenye usajili.
Kocha wa Man city, Pep Guardiola amemjibu kwa kusema;
"Kuna wamiliki wa vilabu wanataka kufaidika wakati wamiliki wetu hawahitaji ata kufaidika."
"Ata kabla hakujawa na klabu nyengine ambazo wamiliki wao hawataki kufaidika utaiona Chelsea na Abramovich wao na utatuona na sisi na Sheikh Mansour."
"Sioni kama kuna haja ya kuwekeana vizuizi kwasababu tayari kuna sheria za matumizi ya pesa (Financial Fair Play) kama wanaona tunakosea wanaweza kwenda mahakamani na kulalamika."
"Tulimsajili Grealish sababu tulishauza kwa paundi milioni 60 kwahiyo unaweza kusema tumetumia paundi milioni 40 tu. Miaka iliyopita wakati Man utd wanashinda mataji, ni kwa kuwa walikuwa wanatumia pesa nyingi kuliko wengine."
"Unakumbuka? Kwa kipindi kile Man city ilishindwa kufanya hivyo sababu haikuwa na wamiliki kama waliopo sasa hivi."
Mkuu kila mtu anajua iyo game hamchomoki hata Klopp anajua hilo sasa wewe ni nani upinge?Tulia ndugu..
Hii gemu huna chako.
YNWA
2018-2019 alicheza mechi 47
Jumla ya mechi 145.2019-2020 alicheza mechi 47.
2020-2021 alicheza mechi 51
2018-2019 alicheza mechi 45
2019-2020 alicheza mechi 37.
Jumla ya mechi 1182020-2021 alicheza mechi 36
2018-2019 alicheza mechi 44
Jumla ya mechi 112.2019-2020 alicheza mechi 40.
2020-2021 alicheza mechi 28
Jumla ya mechi 76.2018-2019 alicheza mechi 33
2019-2020 alicheza mechi 27
2020-2021 alicheza mechi 16
Jumla ya mechi 62.2018-2019 alicheza mechi
2019-2020 alicheza mechi 43.
2020-2021 alicheza mechi 17
2018-2019 alicheza mechi 1
2019-2020 alicheza mechi 12.
Jumla ya mechi 472020-2021 alicheza mechi 33
Jumla ya mechi 30.2020-2021 alicheza mechi 30.
🤔🤔🤔😃😃😃Kwani wewe nani unipangie kufungwo khaaa ebooo tulia.Mkuu kila mtu anajua iyo game hamchomoki hata Klopp anajua hilo sasa wewe ni nani upinge?
Tuna mwalim wewe acha ufwalaaaBahati hiyo muipate wapi?
Huu ni msimu wenu wa mwisho kushiriki UCL kwa miaka hii.
Yani munarudi kuleee kwa miaka ile.
Kusajili kwenu nisawa msajili...lakin msitutambieee.....sisi forward zetu zinatutoshaaa.., salah mane jota firmino na orig wanatoshaaaaa.....unanitishiaje lukaku mtu Nina Mohamed salah ambaye asipo chukua kiatu Basi anakua wapiliii.....huo ujasili mtu wa Chelsea unaupata wapKwahyo hata kama kukiwa na weaknesses baadhi ya maeneo kuelekea msimu unaokuja wasisajili sio? Mkuu utakuwa unaishi dunia yako mwenyewe
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
SasaKusajili kwenu nisawa msajili...lakin msitutambieee.....sisi forward zetu zinatutoshaaa.., salah mane jota firmino na orig wanatoshaaaaa.....unanitishiaje lukaku mtu Nina Mohamed salah ambaye asipo chukua kiatu Basi anakua wapiliii.....huo ujasili mtu wa Chelsea unaupata wap

na hayo magori y Salah still bado hajamzidi Lukaku Kwa magoli ya EPL sijui Una habari na hyo??? Inabidi pia uelewe kuwa Lukaku balaa na amechange sahv sio Yule wa unyumbuni...Ila Duh yule Mrusi haonagi shinda kulipa gharama za kutema kocha maana ukipiga hesabu wengi wao wametemwa na klabu hivyo mkwaja ni mrefu mno umetumika kuwalipa compensation bahati nzuri the guy is loaded with loads of cash yaani Chelsea ana itreat kama toy aisee.
Definitely Tuchel anawafaa sana hopefully atakuwepo klabuni kwa siku nyingi.
YNWA
Wivu, leta mahesabu ya hasara tuliopata kwa kiwatimua, Faida ni kubwa kuliko hasara. kila tukitimua tuna yanyua ndoo, hiyo mbona hutaji.In England
Man Utd managers since 1986:
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. José Mourinho
5.Ole
Arsenal managers since 1986:
1. George Graham
2. Bruce Rioch
3. Arsene Wenger
4. Unai
5. Arteta
Chelsea managers since 1986:
1. Bobby Campbell
2. Ian Porterfield
3. David Webb
4. Glenn Hoddle
5. Ruud Gullit
6. Gianluca Vialla
7. Ray Wilkins
8. Claudio Ranieri
9. Jose Mourinho
10. Avram Grant
11. Felipe Scholari
12. Ray Wilkins
13. Guus Hidink
14. Carlo Ancelotti
15. Andre Villas Boas
16. Roberto Di Matteo
17. Rafael Benitez
18. Jose Mourinho
19. Guus Hiddink
20. Sarri
21. Antonio Conte
22. Lampard
More Managers than EPL trophy, clubs of noise makers.
Poor Chelsea
![]()
Siyo kweli wewe ni muongoKusema kweli mashabiki wa livapuli tanzania wanatambo sana kama walivyo waingereza wenyewe.
Haitakuja kutokea mkarudia ile performance ya msimu wa 2019/2020.
Bila watford kuingilia kati,mngekuwa na kelele sana kwa kweli.
Niwatakieni afya njema kwa msimu huu pia.