Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa Wajeremani last season hawa ku click ki vile na kuna tetesi kwamba Timo alitolewa kama bargaining chip kwa Lukaku ikakataliwa sasa kwa Chelsea inawezekana huu ukawa msimu wake wa mwisho kama kile alichokua anafanya RB hakitaonekana msimu huu.

Klopp is banking highly kwa huyu dogo Konate am positive with Klopp guidance afanya vyema. Umri wake bado sana hivyo hii mikiki ya EPL ataizoea ana bahati jamaa zetu Stoke City na Westbrom hawapo EPL ila tunao Burnley na Brighton bila shaka hawa watamkaribisha vyema sana EPL.

YNWA
@Captain Marvelous umeona forward za BRE zilivyo clinical na vile zina maamuzi? au Ni beki tu wa arsenal ndio wabovu sana?
Hivi inamaana hatuna mascouts wazuri wakutuletea forward kutoka hata championship kwa bei nzuri? maana tunaogopa tunaogopa kutoa mpunga mkubwa wakati timu kama BRE zina watu wenye maamuzi wazuri tu.
 
See a screenshot below. It's our gaffer on the spotlight about new signings once again but look how calm he sounds.

He said pretty much the same thing after Coutinho left back then as fans were pressuring him for a like-to-like replacement - but he didn't bulge and instead did quite the opposite. What unfolded next? We were crowned European and English champs in the following seasons.

In my opinion, this season we have the strongest team spine in the league. Look at Arsenal last night with 4 new faces in their line-up.... they looked shambolic to say the least. No wonder Pep was quoted yesterday as being more worried by Liverpool than those other big spenders (pretenders).

Let's believe as we always do. Bar calamity (injuries, etc), I see us firmly poised for the 20th league title this season.

I trust in our gaffer, doncha?

1628919596080.png
 
Literally have to be a moron to think this Liverpool side is finishing any lower than 3rd. We finished 3rd with the most injuries ever in a PL season, how can we possibly do worse with our actual players back
 
Kuna moron mmoja anabwabwaja tu kutwa kucha

sijui anashabikia timu gani
 
Ukisajil sio 100% ticket ya kuchukua makombe...unaweza kisajil na bado wachezaj wasiperform...timu mnasajil Lukaku alaf unakuja kutuponda et hatujasajil?
 
EPL inarudi Anfield Bila ubishi
Literally have to be a moron to think this Liverpool side is finishing any lower than 3rd. We finished 3rd with the most injuries ever in a PL season, how can we possibly do worse with our actual players back
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom