Hongera sana ndugu kwa kushinda Super Cup jana.
YNWA



Thomas is perfectly made for Chelsea and Chelsea is perfectly made for Thomas...Ahsante mkuu. Mpira ni Burudani. Bado Club World Cup ili nivunje ile recodi yako. God is good naamini tutabeba na CWC![]()
![]()
![]()
Vip lakini. VVD amepona kabisa au bado majeraha ya hapa na pale?
Naona msimu ujao BBC Sport pundits wametupachika "underdog" tag.
Well....why, it's a nice place to be at. Takes pressure off our boys.
View attachment 1889578
View attachment 1889584
Bahati hiyo muipate wapi?Tukimaliza top 3 ni big success..
Na mimi hamu yangu iwe ivo. Na itapendeza lukaku akacheza 9 then kai 10 then timo pembeni na Zych. Yaani hapa acha tu.Thomas is perfectly made for Chelsea and Chelsea is perfectly made for Thomas...
Baada ya kumpata Lukaku endapo ule moto wa msimu uliopita akiwa Inter anakuja nao hapo basi you guys are in another level kabisaaa...
VVD tunategemea by October atakua kasharudisha makali. Tuna Konate kwa sasa atasaidia sana kipindi hiki.
YNWA
Wachache wanaojua soka watakubaliana na wewe lakini wale wenye matokeo mfukoni watakuja na kauli lukaku tumepigwaThomas is perfectly made for Chelsea and Chelsea is perfectly made for Thomas...
Baada ya kumpata Lukaku endapo ule moto wa msimu uliopita akiwa Inter anakuja nao hapo basi you guys are in another level kabisaaa...
VVD tunategemea by October atakua kasharudisha makali. Tuna Konate kwa sasa atasaidia sana kipindi hiki.
YNWA



We jamaaa acha uchuro bhanaBahati hiyo muipate wapi?
Huu ni msimu wenu wa mwisho kushiriki UCL kwa miaka hii.
Yani munarudi kuleee kwa miaka ile.



New signing from majogooo. Well done
Amecheza mechi 72 Inter Milan na kufunga goli 47..huku pia akiwa play maker hilo akiwa Manchester United hakua nalo to this standards za sasa.Wachache wanaojua soka watakubaliana na wewe lakini wale wenye matokeo mfukoni watakuja na kauli lukaku tumepigwa![]()
Hawa Wajeremani last season hawa ku click ki vile na kuna tetesi kwamba Timo alitolewa kama bargaining chip kwa Lukaku ikakataliwa sasa kwa Chelsea inawezekana huu ukawa msimu wake wa mwisho kama kile alichokua anafanya RB hakitaonekana msimu huu.Na mimi hamu yangu iwe ivo. Na itapendeza lukaku akacheza 9 then kai 10 then timo pembeni na Zych. Yaani hapa acha tu.
Ina bidi Konate akaze sana manake Ligi ya uingereza siyo kabisa
Kajibu kasema Liverpool kuna limits kwenye usajili tofauti na PSG, Manchester City nk.Huyu jamaa hajiamini na anaogopa wachezaji hawezi kuwashindanisha tumeona Mane alivo mkazia kwa kuwekwa bechi.
Hawezi sajili mchezaji atakaetishia namba za waliopo.
Wazee wa fantasy Premier league link ya ligue ya Head to Head hiyo Twende kazi