


Hatari sana ila tunawin kama kawaMagoli yameanza kukataliwa game ya pili tu
Hilo ndo la msingi sanaHatari sana ila tunawin kama kawa
Naam naona jota msimu huu kaanzia alipoishianl sema keita kama anapwayaHilo ndo la msingi sana
Mwendelezo mzuri sanaNaam naona jota msimu huu kaanzia alipoishianl sema keita kama anapwaya
Dogo leo alikua form kinyamaTsimikas anaupiga mwingi mpaka ananisahaulisha Tozo![]()

Lukaku ana golden boot ngapi za epl? Bila kusahau huyo lukaku ana appearance ngapi?Sasana hayo magori y Salah still bado hajamzidi Lukaku Kwa magoli ya EPL sijui Una habari na hyo??? Inabidi pia uelewe kuwa Lukaku balaa na amechange sahv sio Yule wa unyumbuni...
Sema ushindi umekuwa mwembamba nilitaka hata 4 au 5 hivi3 Points
2 Goals
1 Cleansheet
Tupo Vizuri
Asante Mr Chelsea hakika mwanzo mzuri. Tunahitaji tupate pointi za kutosha kabla ya krismasi aisee maana kuanzia pale ndio ma balaa huanza.
Naona mmeanzia mlipoishia last season.
YNWA