Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uzuri epl haijawahi kubebwa kwa kufokafoka kama mbwa

Keep watching ,this is epl
Wewe huna la kusema tena tushakupata Mara tatu ..juzi ukapakatwa tena na Leicester na bado spurs ukampa tena akapiga ..subiri huu msimu utapakatwa hadi akili ikae sawa.
 
Wewe huna la kusema tena tushakupata Mara tatu ..juzi ukapakatwa tena na Leicester na bado spurs ukampa tena akapiga ..subiri huu msimu utapakatwa hadi akili ikae sawa.
Kubishana na mvutabangi kama wewe ni matumizi mabaya ya akili ...

Huna logic ..

Huna hoja ..

Shouting fucking shitt
 
Kunjua nafsi ...Pendekezo la JKlopp
Tumeshakubaliana FSG ni wapare official
YNWA.
Wapare imekaa safii mno.

FSG waache kubana ela vinginevyo wasilete lawama kwa Klopp mwisho wa msimu.

Kazi kwao kuu sasa ni kuwasaka watoto kuwakuza na kuuza kwa faida baadae.

YNWA
 
Kama shabiki wa Man u napingana na hao jamaa wanaompendelea pep. Na sie tupogo kwenye hizo mbio😂😂😂😂
😂😂😂😂Hao waaache inabidi mjiweke wenyewe kwamba ni ma bingwa watarajiwa na ile shoo ya vs Leeds mbona mmeleweka.

Hata Pep mwenyewe anasema anawahofia sana Manchester United msimu huu.

All the best kwa kweli.

YNWA
 
I agree chief - Chelsea na Manure wame recruit vizuri sana. Shida ni waalimu wao ambao siyo marathoners wazuri.

Ndiyo maana nasema mtu kama Conte akipewa kikosi cha sasa cha Manure, OT inaweza kuwa serial destination ya trophy haul.

Also bado nina mashaka na durability ya tactics za Tuchel to last the pace of EPL.

Msimu tulipochukua EPL hatukuwa tunacheza full throttle - it was down to basics only and winning anyhow. Hiyo ilisaidia sana tusiwe na injuries kwa key players wetu.
Tatizo la timu kwa ujumla kwenye msimu uliopita was a culmination of fatigue over the previous 3 seasons during which we played at the highest level. Plus that horrible VVD injury of course.

I can see msimu huu it'll be down to basics again - the win vs Norwich set that tone.
Hio ya fatigue wanasema msimu huu Mane na Salah wamepata full mapumziko baada ya ligi kumalizika hivyo hakuna cha kusingizia..

VVD alikataa ofa za kua pundits kipindi Euro inachezwa precisely ajiweke sawa kusubiri awe fully fit kwa mikiki ya EPL.

Kwa mbali sana kuna Firmino, Allison, Fabinho, Henderson, Robertson hawa hawakua na mapumziko walishiriki in their respective countries.

Matip, Milner, VVD, Gomez, Keita, Trent wame recover hivyo day by day watakua full fit.

Shinda kuu kwangu bado sijaona from within ni mchezaji yupi anachukua nafasi ya Gini maana dogo hau hanaga injury record za mara kwa mara.

Ole usimchukulie powa ki vile day by day he becoming better and don't be surprised mwaka huu akawa na jambo lake.

Thomas pale has loads of talent sasa kaze kwake namna ya kuwatumia full throttle. Kila nafasi pale darajani ipo covered by 2 or 3 players maana wengine wanacheza more than one position.

All in all the team to beat ni Ethad boys wale ndio we all have to tame down.. And all the best aiming for that.

Uzuri wa EPL anything is possible yaani ni the land of making impossibles to be possibles.

YNWA
 
Mkuu Lampard alifeli Chelsea kwa sababu alishindwa kuhimili wachezaji na hata ivyo amefanya usajili mzuri sana. Ndio maana nilijiamini tutabeba EPL lakini tumebeba uefa, supercup na club world cup hiyo apo ni uhakika hii ..
Hivyo na msimu huu tunaona kabisa Chelsea tutafanya maajabu makubwa msimu huu ..hii Chelsea kwa sasa Klopp ajipange sana kuifunga.

CFC
Hahaha yaani una pointi zetu 3 ndugu.

Ya Lampard aliedekeza Uingereza kazi ikamshinda hakuna na namna zaidi ya kukaa pembeni Thomas afanye yake.

YNWA
 
Liverpool Top 5 Scorers Last Season 2020 2021 all competitions.

1) Mohamed Salah 31 goals.
2) Saido Mane 16 goals.
3) Diogo Jota 13 goals.
4) Roberto Firmino 9 goals.
5) Trent Anord 2 goals.
6) Gini 2 goals.

Je msimu huu wanabodi tutarajie Salah kuwa kinara wa magoli tena kwetu au Jota anakuja ki vingine msimu huu maana mechi ya juzi kaonyesha kiu ya kutohitaji ile sub. Ana uchu wa kufubga na kusaidia timu.

YNWA
 
Liverpool Top 5 Assist Kings for 2020 2021 all competitions.

1) Roberto Firmino 9 assist
2) Trent Anord 9 assist
3) Saido Mane 8 assist
4) Andy Robertson 7 assist.
5) Mohamed Salah 6 assist.

Msimu mpya huu hapa je the shrewd Brazilian Boy Bobby ataedelea kua bingwa wa ma assist ama TAA anachukua hii ngome?

YNWA
 
Liverpool Most Appearance season 2020 2021 for all competitions.

1) Gini played 51 games.
2) Mohamed Salah 51 games
3) Andy Robertson 50 games.
4) Saido Mane 48 games.
5) Roberto Firmino 48 games.

Gini kashasepa zake je ni mchezaji yupi atacheza mechi zaidi ya wengine msimu huu?

YNWA
 
Liverpool Manager Klopp akizungumza hali halisi ya usajili dirisha hili la sasa.

We have our own way to do it. We are allowed to spend the money we earn, that we always did.

"This year we spent before we earned money with Konate because after last season, just to be clear, we cannot take any risk in this position at all.

"I'm never surprised about the financial power of Chelsea, City or United, I've been here long enough to know they always find a solution to these things."

He added when asked if a new midfielder would arrive before August 31: "You tell me which player we need, I'm really interested. What type of player would you like to sign?

"Should he score more goals than Gini? Should he defend better than Fabinho? Be more creative than Naby [Keita], Curtis [Jones], Ox [Alex Oxlade-Chamberlain] and Harvey [Elliott]?"

He added: "We cannot compare to the other clubs. They obviously don't have any limits. We have limits."

Hahahaha we have limits hapana chezea FSG. Meseji sent by Klopp watakua wameipata vyema sanaaa.

Mo kama kawa
 
Bobby ana changamoto kutoka kwa Jota..
TAA atatisha zaidi..
 
Liverpool Most Appearance season 2020 2021 for all competitions.

1) Gini played 51 games.
2) Mohamed Salah 51 games
3) Andy Robertson 50 games.
4) Saido Mane 48 games.
5) Roberto Firmino 48 games.

Gini kashasepa zake je ni mchezaji yupi atacheza mechi zaidi ya wengine msimu huu?

YNWA
VVD panga pangua safari hii..
 
Liverpool Manager Klopp akizungumza hali halisi ya usajili dirisha hili la sasa.

We have our own way to do it. We are allowed to spend the money we earn, that we always did.

"This year we spent before we earned money with Konate because after last season, just to be clear, we cannot take any risk in this position at all.

"I'm never surprised about the financial power of Chelsea, City or United, I've been here long enough to know they always find a solution to these things."

He added when asked if a new midfielder would arrive before August 31: "You tell me which player we need, I'm really interested. What type of player would you like to sign?

"Should he score more goals than Gini? Should he defend better than Fabinho? Be more creative than Naby [Keita], Curtis [Jones], Ox [Alex Oxlade-Chamberlain] and Harvey [Elliott]?"

He added: "We cannot compare to the other clubs. They obviously don't have any limits. We have limits."

Hahahaha we have limits hapana chezea FSG. Meseji sent by Klopp watakua wameipata vyema sanaaa.

YNWA
Aisee ila mJamaa Wakijichanganya wakamtema kabla ya mkataba ..
Atatema nyongo sanaa ,mpaka dagaa walizolishwa na FSG
Tuombe uzima
IMG_20210717_053550.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom