OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kipindi cha Lampard hatukuwa na uhakika wa kubeba kombe lolote hata hizi mickey mouse, ila sasa tuna kikosi cha kubeba uefa, EPL, supercup, na major trophies zote ..huu siyo wakati wa kupambania top four. Huu ni wakati wa kubeba kila kikombe kinachokatiza mbele yetu.Naona leo Kaskazini kumekucha. Hivi ingekua usajili ndio ubingwa si ingekua una Champions League 10+ mpaka sasa, tangu atue Boss Roman..
Kwanza nisema una kocha safi kabisa anaejua kuwatumia vijana wake vyema kabisa. Uzima wa Kante na Mateo ndio injini yako ile maana bila wao ku click nakuhahakishia wing backs system ita fail tu...
Huo uwezo wa kuchukua back to back UCL huna ndugu.
Chagua moja aidha Primia au UCL.
Hahaha msimamo mpaka sasa wewe utamaliza nafasi ya 2 au 3 na si vinginevyo...
Uzuri hata kipindi yupo Lampard ulikuja hivi hivi ni mwishowe tunajua nini kilitokea..
YNWA
Ninyi liver kwa sasa jengeni kikosi at least muwe kama sisi ..ndo muongelee kuhusu kubeba makombe.
CFC
