Ndo unakimbilia kwenye golden boot sasa sioLukaku ana golden boot ngapi za epl? Bila kusahau huyo lukaku ana appearance ngapi?
...mi nilichotaka kukuonesha usimuunderrate Lukaku kihivyo mzee coz ktk hii ligi ya EPL toka alipotoka Chelsea ule msimu wa 2013 anarekodi ya 10+ goals kila msimu na kuna msimu alimaliza WA pili nyuma ya kane km sikosei...yupo top 20 all-time EPL goalscorers...Angalia asije akajifunga unajua mnakutana na Nani?VVD leo kasaka goli balaa lakini bahati haikuwa upande wake, game ijayo anafunga
Lukaku ana goli nyingi kwa mechi nyingi mno wakati salah ana mechi chache, kapitwa na lukaku mechi zaidi ya 100 wakati goli alizomzidi hazifiki 20Ndo unakimbilia kwenye golden boot sasa sio...mi nilichotaka kukuonesha usimuunderrate Lukaku kihivyo mzee coz ktk hii ligi ya EPL toka alipotoka Chelsea ule msimu wa 2013 anarekodi ya 10+ goals kila msimu na kuna msimu alimaliza WA pili nyuma ya kane km sikosei...yupo top 20 all-time EPL goalscorers...
Lukaku rekodi yake ni kumaliza wapili nyuma ya wenzie wakati rekodi ya salah ni kufunga goli 32 kwa msumu kwa mechi 38 ambayo toka epl ianzishwe hakuna aliyeweza,Ndo unakimbilia kwenye golden boot sasa sio...mi nilichotaka kukuonesha usimuunderrate Lukaku kihivyo mzee coz ktk hii ligi ya EPL toka alipotoka Chelsea ule msimu wa 2013 anarekodi ya 10+ goals kila msimu na kuna msimu alimaliza WA pili nyuma ya kane km sikosei...yupo top 20 all-time EPL goalscorers...
Chelsea sio wa kumtisha liver kivile, liver ilishawahi mpiga chelsea goli mbili ndani ya dakika 1Angalia asije akajifunga unajua mnakutana na Nani?
Chelsea sio wa kumtisha liver kivile, liver ilishawahi mpiga chelsea goli mbili ndani ya dakika 1



Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...Mkuu naona unaendelea kuwachakaza unaokutananao. Moto umewaka jota yupo proper sana
Always great to have ua video goals highlights kwa uzi...2nd goal. ManeView attachment 1901813
Hili goli litakua goli bora la msimu huu la kichwa si mchezo Diogoal anazidi kujiweka kwenye njia ya kua cult hero hapa Anfield.1st goal. JotaView attachment 1901811
Hivi huyu Pepe wa Arsenal kweli kwa soko la sasa hata £20m wanaweza kupata kweli wakiuza yaaani kumnunua £72m na hua naona anarukaruka tu uwanjani.
Nilisema kabla ya ligi kuanza kuwa kama kuna timu ambayo ime retain the strongest spine kwenye squad yake in LFC - and it's already showing.Yaaani kwa namna vijana walivyocheza nina imani kubwa mechi ijayo vs Les Blues itakua full cracker yaaani burudani kama zote...
YNWA
This the way to go M-mbabe... We got to be positive with whats we have in the squad and once that positiveness translate to th players and we will have a formidable players...Nilisema kabla ya ligi kuanza kuwa kama kuna timu ambayo ime retain the strongest spine kwenye squad yake in LFC - and it's already showing.
We are winning games without breaking too much sweat - which epitomises our display at the same stage the season we won the league.
That year, our frightful & fearsome self was being reserved for the big boys - which is what the likes of Chelsea are going to face in our showdown with them.
Bring them on.... goddamn it!
Sasa we nenda na historia yako hyihiyo hyo siku. Mfungwe Afu kocha wenu aanze kulalamika usajiliChelsea sio wa kumtisha liver kivile, liver ilishawahi mpiga chelsea goli mbili ndani ya dakika 1
Kufungwa na kushinda ni sehemu ya mchezoSasa we nenda na historia yako hyihiyo hyo siku. Mfungwe Afu kocha wenu aanze kulalamika usajili